Usitumie huo mstari wa kujifariji,, it doesnt make it ryt. Mungu wetu si wamajaribio, nakubali kabisa kwamba yupo Mungu mmoja anayestahili kuabudiwa kwa dhati but haimaanishi unaweza kumwabudu popote tuu coz ni mmoja.
Unaona tofauti gani kati ya dini ya kikristo na kiislamu? Hauoni utofauti wa kumwabudu Mungu kati ya dini hizo mbili? Hama dini/dhehebu ukiwa umeamua kwa udhati kutoka moyoni mwako sio kwa ajili ya mapenzi uliyenanayo kwa mtu(mpenzi wako). Mara nyingi akili ya mwanadamu inapotamani kufanya jambo basi hutafuta jinsi ya ku-justify maamuzi haya(kama ilivoonekana kwenye hiyo kauli yako)
Tulia, Mwombe Mungu wako akuongoze kwenye maamuzi yako, I am sure He will.
HAPPY HOLLY WEEK