Natamani sasa kuolewa

Natamani sasa kuolewa

Mie mkristo pure tena nmelelewa katk din kabsa mwenzang muslim hapo ndo kikwazo

uko tayari kwa hili? umejiandaa?
[video=youtube_share;DWoXtTChZW4]http://youtu.be/DWoXtTChZW4[/video]
 
Na mm nina tatizo Hilo Hilo mie mkristo ila kila nikijitahidi kutafuta mchumba napata mwislam na nyumbani hawataki,wadada wa kikristo mmejificha wapi?
 
umeniudhi kwenye hiyo red! Kama baba yako ni tatizo kwako mgonge na gari la huyo mzinzi mwenziyo! toto hata adabu huna mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! Hata biblia halisomi hili!!
hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mkuuu umenifanya nicheke kwa sauti. siyo kuwa hoja yako ni kituko hapana bali umetoa hoja nzito kwa kugha flani ya kuchkesha, kufikirisha na kuhuzunisha
 
uko tayari kwa hili? umejiandaa?
[video=youtube_share;DWoXtTChZW4]http://youtu.be/DWoXtTChZW4[/video]
wanawake mna kazi huko. hii ndo dini nayo, nenda mdada nenda. mwite baba yako kuwa ni tatizo, mama pia na wote watakaokupinga.
 
Sikweli,mwana mke ana dini na nilazima kusimamia imani yako

Sina proof ya 100% ila wewe niambie tu kwa unavyoona, nani anabadili dini kirahisi zaidi baina ya hizi jinsia..??
 
ila ukweli ndio huo, muulize muislam yoyote anae jua sharia za kiislam akujuze mkuu muslam hatakiwi kwenda msibani/kumzika mtu asie kuwa muislam, hata kama ni mzazi wako hauruhusiwi kwenda kwenye msiba wake ikiwa yeye amekufa akiwa mkristo!

pia huu ni uongo
 
Back
Top Bottom