mrsleo
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 2,588
- 3,886
Natamani kuolewa sasa jamani,,
Niishi na mume wangu,asubuhi aniamshe twende kazini jion niwahi nyumban nimpikie akija nimfungulie mlango natamani natamani sijui itakuwa tarehe ngapi kikwazo ni dini zetu MUNGU simama sasa !!aaaaaaggg
Hahahaaa hayo unayasema tu sasahv lakn ukishaingia kweny hyo ndoa wala hutataman kuyafanya, mwanzoni aah utakuwa nabidii ngoja iishe japo miez mi3