Natamani sasa kuolewa

Natamani sasa kuolewa

Kamalizane na kizee ulichokilia pesa zake kule kwanza halafu ndo utajua unaolewaje...
 
Nimewahi kusikia wasichana wakisema "awali ni awali" rudi kwa aliyekutoa bikira.
 
kUMBE UNAFANYA UASHEARTI BADO UNATAKA NDOA!! Bikira huna bado wataka ndoa, hilo ombi halijaenda kokote. fanya matengenezo kwanza wewe mwenyewe. then mwambie Mungu akupe Mume!! sio MSHARATI MWENZIO HUYO.

Wewe hapo unaweza ukakuta ni gumegume mzoefu....
 
kwa taarifa yako,kama wasikia ndoa siku hizi hazidumu ni kwamba ndoa za kikiristo haziko ktk mkumbo huo.Wenzetu laki 2 nyingi,elfu 40 ni mahari,shehere nyumbani kwa bibi harusi,hakuna mafunzo ya ndoa,tena hata under 15 yrs unaoa.Ukiisha onja onja na kuchoka,unaanza mchakato wa kutafuta mwingine si dini inaruhusu!JE UKO TAYARI KWA UKE WENZA?KWA KUWA NA WATOTO WA KUFIKIA?KWA KUGOMBEA URITHI?KWA KUSHINDA MAHAKAMAN MARA KWA MARA?MUME WA MAISHA YAKO YUPO AMIN!!ACHA WA IMAN NYINGINE ATAFUTE WA IMAN YAKE.PLS
 
Natamani kuolewa sasa jamani,,
Niishi na mume wangu,asubuhi aniamshe twende kazini jion niwahi nyumban nimpikie akija nimfungulie mlango natamani natamani sijui itakuwa tarehe ngapi kikwazo ni dini zetu MUNGU simama sasa !!aaaaaaggg

Omba sana GOD ata kusaidia wangu
 
Kisiasa mungu ni mmoja.kiuhalisia Miungu wako wengi.Kuna Mungu anayesema "vita vyenu si juu ya damu na nyama bali vita vya kiroho".Kuna mungu mwingine mwenye kusisitiza ulipaji wa visasi kwa sbb yeye hawezi kujitetea,wanadamu ndio wamtetee!
 
Kubadili dini siyo tatizo kwangu coz naamini Mungu ni mmoja,,tatizo ni baba yangu ambaye ni mzee wa kanisa??atanikataa kabisa
Nina wasiwasi na Ukristo wako. Huwezi kuwa mkristo uliobobea kwa mujibu wa maelezo yako halafu ukadai kuwa MUNGU ni yule yule. Inaonyesha wewe ulikuwa unaenda kanisani kwa kuogopa viboko kama unavyofanya sasa hivi. Wewe olewa tu, kwani hata hivyo MUNGU unaemuabudu humfaham.
 
Pole sana dada! Usidanganyike,mwombe mungu atakupa mume mwema mkristo mwenzio. Ila kama unataka ndoa za mitara kubali kuolewa huko utakako, baada ya miaka mitatu utasikia sie kuoa wake wengi suna, ko ukikubali jiandae kushare mume na wake wenzio watatu na pia jiandae kwa mengine kibao.

Sio kila mwanaume wa kiislam anaoa mke zaidi ya mmoja. Na sio kila mwanaume wa kikristo anakuwa faithful kwa huyo mkewe mmoja wa ndoa, wanawake wengi wa dini zote uislam au ukristo huwa wanajikuta wana share mume na wake wenza whether ni official or unofficial! Nakubali kuwa dini tofauti ni tatizo kwa kuwa kwa wengi wetu dini ni mfumo mzima wa maisha so kwenye kuishi watu wa dini tofauti kuna changamoto zake kimaisha, kiroho na humlazimu mmoja au wote wa make personal sacrifices. Ndoa ya kawaida isiyo na issue za dini huwa ni ngumu sasa kama dini pia ni issue then ugumu unazidi
 
Mtoa mada,
pole kwa tatizo lilo mbele yako. Ila kabla hujafanya maamuzi tafadhali tafakari yafuatayo:
1. Umesema kubadili dini sio issue kwako tatizo ni baba, je ukiolewa leo ukaachika au mumeo mauti yakamfika baada ya miaka michache ya ndoa (God forbid) utakuwa dini gani? Muislam au mkristo?
2. A man will always be a man, usidhani kwa kubadili dini ndo ataona sacrifice uliyoifanya kwa penzi lenu. Siku ata cheat like any other utabaki unajiuliza yote nnlomfanyia bado haijatosha? Na pengine akakwambia sikukulazimisha kubadili uliamua mwenyewe...
dada badili dini kwa kusoma na kuelewa nini hiyo dini nyingine inasema na ridhia kwa moyo wako. Mwanaume awe kama mtu aliyekuonyesha alternative tu but it has to be your decision, uridhie na moyo wako.
Usikilize moyo wako, tafakari. Kila la heri
 
Back
Top Bottom