Natamani sasa kuolewa

Natamani sasa kuolewa

Kubadili dini siyo tatizo kwangu coz naamini Mungu ni mmoja,,tatizo ni baba yangu ambaye ni mzee wa kanisa??atanikataa kabisa
Mi siamini kabisa kama dini zetu hizi zinaamini katika Mungu 1!

  1. Yaani Wakristo waamini msamehe adui yako halafu waislam waamini UA Kafiri halafu iwe Mungu 1?
  2. Dini 1 inaamini katika mke 1 mume 1 wakati nyingine inaamini katika wake 4 halafu iwe Mungu 1?
  3. Dini nyingine inasema Yesu ni mwana wa Mungu while nyingine iseme yesu ni nabii kama wengine, aaah please hebu kua serious bwn, Mungu wa Wakristo na Waislam sio Mungu 1 hata kidogo though kwa kusema hivyo sina maana usiolewe nae, hio iko ndani ya maamuzi yako mwenyewe.
 
ngoja huyo jamaa aamue kutafuta muislamu mwenzie ndo utajua kwamba bado hujaamua kuolewa
 
:A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2:
avatar207232_2.gif


Nakufa mie, nimeona hayo maloveeee.... we ni nouma mana moyo wako unabadilika mirangi. Asante sana. Yakurudie na wewe hayoooooooo
 
Back
Top Bottom