ngozimbili
Platinum Member
- Jul 28, 2011
- 1,487
- 1,128
Usijipe moyo mama et kua MUNGU ni mmoja ndo sbb ya kubadili dini na YESU je nae vipi, kuna tofauti kubwa sana kati ya hizi dini 2 unless useme hata huo ukristo huujui vizuri
Maamuz ya mwisho n yako lkn kumbuka mapenz yanaishia hapahapa dunian sister huyo jamaa hatakutetea mbingun...na unaweza ukabidili dini kwa sababu ya mtu na bado akakutosa mbelen,hebu tafakari sana kabla hujamkana YESU afu mek sure unaijua vizur iman yako.
Kubadili dini siyo tatizo kwangu coz naamini Mungu ni mmoja,,tatizo ni baba yangu ambaye ni mzee wa kanisa??atanikataa kabisa
Aiseeee I really appreciate you bidadaUsitumie huo mstari wa kujifariji,, it doesnt make it ryt. Mungu wetu si wamajaribio, nakubali kabisa kwamba yupo Mungu mmoja anayestahili kuabudiwa kwa dhati but haimaanishi unaweza kumwabudu popote tuu coz ni mmoja.
Unaona tofauti gani kati ya dini ya kikristo na kiislamu? Hauoni utofauti wa kumwabudu Mungu kati ya dini hizo mbili? Hama dini/dhehebu ukiwa umeamua kwa udhati kutoka moyoni mwako sio kwa ajili ya mapenzi uliyenanayo kwa mtu(mpenzi wako). Mara nyingi akili ya mwanadamu inapotamani kufanya jambo basi hutafuta jinsi ya ku-justify maamuzi haya(kama ilivoonekana kwenye hiyo kauli yako)
Tulia, Mwombe Mungu wako akuongoze kwenye maamuzi yako, I am sure He will.
HAPPY HOLLY WEEK
Ila ukweli ndio huo, muulize muislam yoyote anae jua sharia za kiislam akujuze mkuu muslam hatakiwi kwenda msibani/kumzika mtu asie kuwa muislam, hata kama ni mzazi wako hauruhusiwi kwenda kwenye msiba wake ikiwa yeye amekufa akiwa mkristo!
Mtihani
Nawaza mengi apa,,mara naolewa mwaka mmoja anataka aoe mwngne din yake yaruhusu dini yangu nimeikana ntakuwa mgeni wa nani??
Haya mahusiano ya hivi mm huwa nayaogopa sana..mbeleni ndoa lazima iwe na vurugu...
Mimi wa dini tofauti ntaishia kummega tu...ikitamkwa ndoa nachapa lapa..!
Kimbia hapo tafuta mkristo mwenzako.
Kubadili dini siyo tatizo kwangu coz naamini Mungu ni mmoja,,tatizo ni baba yangu ambaye ni mzee wa kanisa??atanikataa kabisa
Aiseeee I really appreciate you bidada
Mie mkristo pure tena nmelelewa katk din kabsa mwenzang muslim hapo ndo kikwazo
Natamani kuolewa sasa jamani,,
Niishi na mume wangu,asubuhi aniamshe twende kazini jion niwahi nyumban nimpikie akija nimfungulie mlango natamani natamani sijui itakuwa tarehe ngapi kikwazo ni dini zetu MUNGU simama sasa !!aaaaaaggg