Natamani sana Ndoa za dini ya Kiislamu " Its the best marriage Ever"

Hukuchagua mke ndugu ulichagua fundi kitandani na haya ndio matokeo yake.
Ndoa ulizozisifia za wake wanne zimetawaliwa na umasikini wa kufa na kupona, watoto zaidi ya 20 elimu hakuna, mtoto wa kike akimaliza darasa la saba anaozeshwa, upuuzi mtupu huu.
Eti wapo vizuri kugawana mirathi, mali huwa inagawanwa au inaendelezwa?
Badili tu dini elekea huko mkuu ndio utajua kuswali mara tano kwa siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na bakharesa na mwenye maisha mazuri?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
FaizaFoxy we ajuza
.
Yohana 8:7
Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.
Acha kuwa poyoyo, sasa hiyo Saudi Arabia au Oman? Ona hii, sema wapi hapa?...







Wapi hiyoo? Oman au Saudi Arabia?

Chanzo: APIGWA HADI KUFA NA HATIMAE KUCHOMWA MOTO KWA TUHUMA ZA WIZI
 
Acha kuwa poyoyo, sasa hiyo Saudi Arabia au Oman? Ona hii, sema wapi hapa?...







Wapi hiyoo? Oman au Saudi Arabia?

Chanzo: APIGWA HADI KUFA NA HATIMAE KUCHOMWA MOTO KWA TUHUMA ZA WIZI
Pruuuuuuu! Hiyo ni habari kutoka media kubwa duniani CNN na sio story ya kutunga kwa sababu sheria ya kiislamu inaruhusu.
.
Mzinzi ni wa kupigwa mawe hadi kufa na hao hawakufanya kosa kwa mujibu wa sharia waliitekeleza, sharia haimpi mamlaka mwanamke ya kujibizana na mwanaume, sheria haimpi mamlaka mwanamke ya kuchangamana na wanaume.
.
Wiki iliyopita hapa timu za Spain zilikwenda Saudi kucheza kombe la mfalme shirikisho la soka la spain likawawekea kipengele hao waarabu kuruhusu wanawake kwenda kutazama mpira pamoja na wanaume yani wanawake wa saudi walimuona Messi yule, sasa wewe endelea kujibizana na mimi mwanaume nitakapotumia sharia tutaelewana tu
 
Mwenye mbili si sawa na mwenye moja,angalau uislam umetoa ruhusa ya kuoa mpaka 4 na ruhusa ya kuacha na kuachwa. Katika hili Kuna manufaa mengi sana na ruhusa wengi imewanufaisha, ndoa haiend kwa kulaznishwa mnaweza kuuwana buree
Kwanza Kuna limit wake 4 tu sio zaidi

Tamaa ya mwanaume sio 4 tu ila zaidi yaani idadi haieleweki.

Nikujifariji tu, fanyeni research muone kama wanaume huridhika wakifikisha wake 4 ndo baasi.

Akipita mnene macho kodo

Mrefu macho kodo

Mwembamba macho kodo

Mwenye nywele nzuri macho kodo

Mwenye kiuno kizuri macho kodo

Mwenye sauti na mwanya mzuri macho kodo

Nafsi zetu huwa zinaficha mengi na midomo yetu bila aibu hunena unafiki uliotukuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe na bakharesa na mwenye maisha mazuri?


Sent using Jamii Forums mobile app
Watu weusi tunadharaulikaga hivihivi tunajiona.
Huyo Bakhresa ni mwenzako?
.
Watoto wakiislamu ni kawaida kuoa au kuolewa wakiwa na umri mdogo na hili huwezi lipinga hivi shule mnasomaga saa ngapi?
Kuna wapangaji wangu sipataji mwanaume ana miaka 20 mkewe ana miaka 18 na tayari ana mtoto mmoja.
.
Kazi anayofanya mwanaume ni dereva bajaji hivi haka kabinti kakija kujitambua na huyu kijana wa kiume ujana ukimkolea watashindwa kufikisha vyuo hata kumi?
 
Mwenye mbili si sawa na mwenye moja,angalau uislam umetoa ruhusa ya kuoa mpaka 4 na ruhusa ya kuacha na kuachwa. Katika hili Kuna manufaa mengi sana na ruhusa wengi imewanufaisha, ndoa haiend kwa kulaznishwa mnaweza kuuwana buree

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni uzinzi tu, kama haujawa tayari fanya uzinzi wako weee utaoa hata ukifikisha miaka 45.
Mwanaume mwenye akili timamu haoi kahaba anaoa kigoli (bikra)
 
Ndoa tamu ukipata mtu sasa mimi muislam sijawah kuwa mkristo so ya kikristo siyajui vizuri lakini huku kwetu ukipata mke alisoma dini na upendo upo hata kuchepuka huwezi, kuna usafi flani hivi amaizing, ila ukichochora ukaoa muislam jina ama na wewe una mambo yako meusi mbona utafurai na roho yako itakuwa ya moto kama unaishi jehannam ndogo
Kweli kabisa,ukioa mwanamke mwenye hofu ya Mungu ya Kweli,hata kwa wakristo utaenjoy sana,lakini hawa wengine wa maigizo ni shida kwakweli...
 
Kwanza Kuna limit wake 4 tu sio zaidi

Tamaa ya mwanaume sio 4 tu ila zaidi yaani idadi haieleweki.

Nikujifariji tu, fanyeni research muone kama wanaume huridhika wakifikisha wake 4 ndo baasi.

Akipita mnene macho kodo

Mrefu macho kodo

Mwembamba macho kodo

Mwenye nywele nzuri macho kodo

Mwenye kiuno kizuri macho kodo

Mwenye sauti na mwanya mzuri macho kodo

Nafsi zetu huwa zinaficha mengi na midomo yetu bila aibu hunena unafiki uliotukuka.
Kuangalia sio shida mkuu,shida ni kutamani...
 
Wewe ni mzinzi.

Sawa. lakini huo ndio ukweli.

"Na amani ya Mungu ikae miyoni mwenu"

Unamtumikiaje mungu ukiwa na majuto na magomvi.

"Avumiliaye hata mwisho ataokoka"

Hakuna anayeweza kuvumilia katika uasherati na uzinzi katika fungamanisho la ndoa ya dini ya kiislamu

Katika dini hii kuwa na wake 2-4 sio uzinzi (kumbuka haya ni matakwa ya dini husika.

" Mkirifunga duniani limefungwa mbinguni na mkilifungua dunia limefunguliwa mbinguni"

Dini ikisema dhambi ni dhambi hata kama Mungu akusema.
 
Ni kweli Kisayansi jinsia moja ya kiume inatakiwa kuhudumia jinsia nyingi za kike (angalia kwa wanyama ili kupata ushahidi).
Kwa wanyama haina tatizo kabisa kwa sababu ya uwezo mdogo wa ufahamu.
Kwa mwanadamu pia inawezekana sana kama utaoa wanawake wengi ambao hawana elimu ya kutosha na kwa hiyo ufahamu wao ni mdogo.
Ni ma mama ya nyumbani tu ambayo yakitoka yanavaa bai bui na kuficha sura zao.
Kwa namna yoyote ili huwezi kuoa wanawake wawili wenye masters degree na ukakaa nao kwa amani.
Huwezi kuoa mwanamke ambaye ana madaraka ya Urais wakati wewe ni mwalimu wa shule ya msingi.
Neno la Mungu linasema "Mwanaume na amzidi Mwanamke katika kila jambo".
Kwa hiyo ndoa ya wake wengi inapendeza sana kama uliowaoa hawana elimu kabisa au unawazidi sana elimu.
Pia mara nyingi uzao unaoupata unakuwa na chuki kati yao. Siku zote Mtoto wa mama mkubwa na mdogo huwa hawapatani kabisa.
Kumbuka Muisraeli na Mwaarabu ni ni uzao wa Abrahamu ambaye alikuwa na wake wawili.
Sara alimzaa Isaka ambaye uzao wake ni Waisrael na Hajira ambaye kwa kabila ni M Misri alimzaa Ismael ambaye uzao wake ni Waarabu.
Kamwe Mwarabu na Myahudi hawatakaa wale sahani moja. Ni maadui wa kudumu pamoja na kuwa babu yao ni Abraham (Myahudi).
 
Back
Top Bottom