Ndoa za kikristo v/s ndoa za kiislamu

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya Wana JF.

Ndugu kama kichwa cha habari kinavyo sema hapo .

Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa sana ndani ya ndoa za siku hizi especially ndoa nyingi za kikristo zina yumba sana huku tukiona baadhi ya ndoa za kiislamu zikiwa zinadumu zaidi japo kunabaadhi zina yumba pia ila zinadumu sana kwa muda mrefu bila kuvunjika.

Je, ni nini kinapelekea hasa ndoa hizi za kiislamu kudumu zaidi nakuonyesha kuwa na amani ukilinganisha na hizi za kikristo na nini kifanyike ili kuimarisha hii taasisi ya ndoa za kikristo ?

Nakaribisha maoni yenu.
 
Maoni yangu kama kanisa lisimamie misingi ya ndoa kama mwanzo ,na waislamu nao tusimamie misingi ya ndoa.

Ndoa ni zaid ya upendo na watoto.

Sio kwa mlengo wa kidini ila sasa imekuwa fashion watu kufunga ndoa baada ya kuzaa watoto kadhaa tena wanawapeleka mpaka nyumba za ibada....Ndoa ni nzuri kama ishu ya mpaka kuzaa basi wagumba hawatoolewa kwa kweli.

Pia pawe na exiting plan nzuri kama mapenzi yataisha ili kuepuka kesi za kuumizana mpaka kuuana , ila jambo la talaka lipo ila halina baraka ni jambo ambalo linaenda kuleta mikosi maana linamchukiza muumba na watoto wanaenda kuishi kwa tabu.

Yote ni kwamba vijana haswa wa kiume tutulie kweny ndoa mambo ya dunia hayaishi ule mtindo wa kulegalize kuchepuka tuufute zaidi tuangalie maendeleo ya familia ,mbona mambo kibao sio kuwaza ngono kila mara kama mke unae unataka nn?
Ukiwa kama kijana kuwa na malengo mazuri sio kuchezea wanawake wa watu pia fanya chaguo sahihi ndoa sio lelemama.
 
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya Wana JF.

Ndugu kama kichwa cha habari kinavyo sema hapo .

Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa sana ndani ya ndoa za siku hizi especially ndoa nyingi za kikristo zina yumba sana huku tukiona baadhi ya ndoa za kiislamu zikiwa zinadumu zaidi japo kunabaadhi zina yumba pia ila zinadumu sana kwa muda mrefu bila kuvunjika.

Je, ni nini kinapelekea hasa ndoa hizi za kiislamu kudumu zaidi nakuonyesha kuwa na amani ukilinganisha na hizi za kikristo na nini kifanyike ili kuimarisha hii taasisi ya ndoa za kikristo ?

Nakaribisha maoni yenu.
Kipindi tupo shule tena O-level wenzetu(waislamu) walikuwa wanafundishwa mambo ya ndoa waziwazi

Aina zatalaka namna zinavyotolewa nadhani na namana ya kuzizuia

,mwanamke kumtii mume mambo ya kujifukiza/kunukianukia marashi ni Kwa mume tu/ mume ndo haisi hiyo jarufu yake nzuri sio wanaume wengine.

mwanaume kuonesha ukuu wake n.k

Tena hao wasichana wengine wanatuheshimu Hadi sisi tusio waislamu(Nilisinzia kwenye Darasa Fulani wao wakaja kufanya kikao nikashituka nikataka kutoka nikambiwa hakuna kutoka mpaka Dua, muda wakutoka Nika mwambia msichana aliyembele yangu Anza kutoka akanigomea kwamba mwanaume ndo wakwanza).

Japo huu utii WA mwanamke Sasa hivi unakufa sababu wasichana wakiislamu wanatamani miondoko ya kifeminist wengine wanaona kama ugandamizaji tu Kwa mwanamke

Kwahiyo labda wakristo tuwetunafundishwa na kuandaliwa vizuri kuhusu ndoa tukiwa wadogowadogo(O-level) maana kunawatu wazima kabisa wanapewa seminar wakiwa wakubwa lakini hawaelewi nadhani wanakuwa wamesha kubuhu (utawaambia Nini )
 
Uislam umempa mafunzo mengi sana mwanamke kwakua mama ndo nguzo kubwa ya uwepo wa ndoa, mafunzo yote akiyafata ndo yanayofanya ndoa yake idumu, lakini kwa sasa wanawake wengi wakiislam pia hawadumu kwasababu hawafati mafunzo hayo, hawaheshimu waume zao wala kumuheshimu yeyote wapo upande wa maadui wa uislam hali yakua wanajiita waislam.

Uislam umempa thamani mwanamke katika kila kitu kwanzia mavazi avae nguo za stara ili kutunza heshima yake lakini maadui wa uislam wanapambana kumvua nguo mwanamke na kumfanya awe huru atembee kavaa chupi na kumwambia kuvaa stara ni unyanyasaji wa kijinsia.
 
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya Wana JF.

Ndugu kama kichwa cha habari kinavyo sema hapo .

Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa sana ndani ya ndoa za siku hizi especially ndoa nyingi za kikristo zina yumba sana huku tukiona baadhi ya ndoa za kiislamu zikiwa zinadumu zaidi japo kunabaadhi zina yumba pia ila zinadumu sana kwa muda mrefu bila kuvunjika.

Je, ni nini kinapelekea hasa ndoa hizi za kiislamu kudumu zaidi nakuonyesha kuwa na amani ukilinganisha na hizi za kikristo na nini kifanyike ili kuimarisha hii taasisi ya ndoa za kikristo ?

Nakaribisha maoni yenu.
Sisi tunaruhusiwa kuongeza mke au hata kutoa talaka
 
Kipindi tupo shule tena O-level wenzetu(waislamu) walikuwa wanafundishwa mambo ya ndoa waziwazi

Aina zatalaka namna zinavyotolewa nadhani na namana ya kuzizui

,mwanamke kumtii mume mambo ya kujifukiza/kunukianukia marashi ni Kwa mume tu/ mume ndo asikie hiyo jarufu yake nzuri sio wanaume wengine.

mwanaume kuonesha ukuu wake n.k

Tena hao wasichana wengine wanatuheshimu Hadi sisi tusio waislamu(Nilisinzia kwenye Darasa Fulani wao wakaja kufanya kikao nikashituka nikataka kutoka nikambiwa hakuna kutoka mpaka Dua, muda wakutoka Nika mwambia msichana aliyembele yangu Anza kutoka akanigomea kwamba mwanaume ndo wakwanza).

Japo huu utii WA mwanamke Sasa hivi unakufa sababu wasichana wakiislamu wanatamani miondoko ya kifeminist wengine wanaona kama ugandamizaji tu Kwa mwanamke

Kwahiyo labda wakristo tuwetunafundishwa na kuandaliwa vizuri kuhusu ndoa tukiwa wadogowadogo(O-level) maana kunawatu wazima kabisa wanapewa seminar wakiwa wakubwa lakini hawaelewi nadhani wanakuwa wamesha kubuhu (utawaambia Nini )
Asante kwa maoni mkuu
 
Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa sana ndani ya ndoa za siku hizi especially ndoa nyingi za kikristo zina yumba sana huku tukiona baadhi ya ndoa za kiislamu zikiwa zinadumu zaidi japo kunabaadhi zina yumba pia ila zinadumu sana kwa muda mrefu bila kuvunjika.
Kwa takwimu za Dar ndoa 300 kuvunjika kwa mwezi ni kundi gani katika hayo mawili linaongoza
 
Mimi ni mkristo lakini waisilamu Wana heshima sana Kwa waume zao na pia wana roho nzuri ukilinganisha na wanawake walio wengi wa kikristo.
Lakini pia waisilamu kuoa wake wengi hiyo karata waliicheza vizuri sana, lakini sisi wakristo ka mke kamoja yaani hakatoshi kabisa hapa tulipigwa na kitu kizito.

Kwa kweli niwe mkweli na nawapenda waisilamu kutokaana na kuoa wake wengi yaani full rotation Leo hii, kesho Ile.

Acha niwe muisilamu tu niongeze wake wengine watatu niwe na 4, hapa naona ndo akili itatulia.
 
Back
Top Bottom