Natamani sana mtu akanushe mambo haya kiuhalisia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natamani sana mtu akanushe mambo haya kiuhalisia

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by TandaleOne, Sep 12, 2010.

 1. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Utoaji wa huduma za Afya uliendelea kuboreshwa kwa kiasi kikubwa na kuleta
  mafanikio yafuatayo:-
  (a) Kutoka mwaka 2005 hadi 2009, jumla ya zahanati 464, vituo vya afya 98
  na nyumba za waganga 394 zilijengwa.
  (b) Zahanati 1,037, vituo vya afya 285 na hospitali 112 zimekarabatiwa.
  (c) Zahanati zimeongezeka kutoka 4,679 mwaka 2006 hadi 5,422 mwaka
  2009.
  (d) Vituo vya afya vimeongezeka kutoka 526 hadi kufikia 663 mwaka 2009.
  (e) Idadi ya Madaktari imeongezeka kutoka 3,528 mwaka 2005 hadi 4,502
  mwaka 2010. Vile vile idadi ya Madaktari Wasaidizi imeongezeka kutoka
  9,028 hadi 14,017 katika kipindi hicho hicho.
  (f) Idadi ya Wauguzi na Wakunga imeongezeka kutoka 18,123 mwaka 2005
  hadi 23,886 mwaka 2010.
  (g) Chanjo ya watoto dhidi ya kifua kikuu, polio, kifaduro, pepopunda, donda
  koo na homa ya ini iliongezeka kutoka watoto 1,243,388 mwaka 2005
  hadi 1,356,421 mwaka 2009. Aidha, watoto waliopatiwa chanjo ya surua
  imeongezeka kutoka 1,267,716 hadi 1,455,100 katika kipindi hicho hicho.
  (h) Katika kuzuia na kudhibiti malaria Tanzania Bara vyandarua 9,000,000
  vyenye viuatilifu vimegawiwa kwa watoto wenye umri wa miaka 5 mwaka
  2009/2010 bila malipo. Aidha, vyandarua 4,200,000 vya hati punguzo
  viliuzwa kwa mama wajawazito.
  (i) Vifo vya watoto chini ya miaka 5 vimepungua kutoka 158 kwa kila 1000
  mwaka 2005 hadi 75 kwa kila 1000 mwaka 2010.
  (j) Aidha, katika kuleta ufanisi wa huduma za afya, mashine za kuchunguza
  damu, uwezo wa figo na ini pamoja na mashine za X-Ray zimewekwa
  katika kila hospitali ya wilaya na huduma za maabara zimeimarishwa.
  (k) Kitengo cha magonjwa ya moyo kimeanzishwa na upasuaji unafanyika
  nchini. Aidha, mashine 7 za kusafisha figo zimefungwa na hivyo
  kuwezesha usafishaji wa figo kufanyika hapa nchini.
  (l) Maambukizi ya UKIMWI yamepungua kutoka asilimia 7 na kufikia asilimia​

   
 2. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #2
  Sep 12, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nadhani ingeleta maana zaidi kama ungepima efficiency; hasa ya majengo, walimu, wauguzi n.k.
   
 3. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Karibu jamvini.
   
 4. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #4
  Sep 12, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  unanikaribisha jamvi gani tena TandaleOne?
  anyway, asante!
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Tandale one nadhani una mtindio wa ubongo..
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Wewe ni chizi
   
 7. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ebu tusikanushe. Lakini yamechangia vipi katika maisha bora kwa kila Mtanzania? Vipi hali ya uchumu? Hali ya ufisadi? Nichague CCM ili iweje?
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Huu ni utaahira ama ni mambo ya copy n paste?
   
 9. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2010
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Attention seeker with Brain Haemorrhage
   
 10. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  No one knows.Ila niko sawa.Hivi JK miaka mitano hajafanya lolote?Weka unafiki pembeni.Niambie ukweli
   
 11. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Opinions..That's ur on earth.To give out ur opinions about anything.
   
 12. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  kufikia asilimia 5.Kuna jingine???:becky:
   
 13. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Maisha bora ni nini???
   
 14. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tandale one nadhani wewe ni mgonjwa, sera za ccm unazijua 2005? kuna vitu vingine ni utaratibu wa serikali wa kawaida kabisa kama kuajiri waalim na wataalam wa afya.
   
 15. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  As if hiyo 2005, chama tawala kilikuwa CUF!!!!!!!!! shaame on ur statistics!
   
 16. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #16
  Sep 12, 2010
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  CCM namba one
   
 17. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #17
  Sep 12, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Duu huwa hujui unachokioongea na kuandika. Nitakusaidia kidogo kuna watanzania 1.5 - 1.8 Mil wanaoishi kwa Ukimwi kila mwaka. According to Tanzania HIV/AIDS and Malaria Indicator Survey 2008-9 it is estimated that HIV prevalence iko 5.7%. Huna sababu ya kuwa muongo bila sababu. Hizo asilimia 5 umezitoa wapi ? ama source yako ni Yusuf Makamba?

  Uje na facts, si juhudi za Kiwete ni mkatakati wa kimataifa kupunguza maambukizo ya HIV huku sub saharan Africa msidandie kama ni mafanikio yenu nyie CCM
   
 18. S

  Safre JF-Expert Member

  #18
  Sep 12, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 240
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mnanyotukanana mnatufundisha nin tuelimishine jaman
   
 19. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Sio jibu.Atakayesoma original post na comment yako atakuona we ndo mwehu.
   
 20. TandaleOne

  TandaleOne JF-Expert Member

  #20
  Sep 12, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 1,618
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Out of the topic.
   
Loading...