Natamani Rais Magufuli atawale hadi 2040

Natamani Rais Magufuli atawale hadi 2040

Kwa jinsi anavyoinyoosha nchi, anavyosimamia maslahi ya wanyonge, anavyopambana na rushwa, anavyorudisha nidhamu ya utumishi wa umma ni wakati muafaka sasa kusimama naye kama Taifa na kumpa fursa pana ili amalizie ichokianza. Tumkosoe kwa hoja na sio vioja ili kumjenga (constructive critism) badala ya kuropoka ropoka tu bila hoja.karibu tujadili hii kitu muhimu sana.
Akili yako sawa na mlevi wa gongo unaishi kwa kufumba macho
 
Naunga mkono hoja ccm wamefanya vzr sana maana ukimweka MTU mwenye aibu atawale nchi ingekua pori la wahuni ,kapunguza mambo ya dezo dezo sasa kila mtu atafanya Kaz kulingana na taaluma yake no fake kila kitu OG CCM oyeeeee

Mungu pamoja nasi
Wamefanya vizuri kwa kuiba rasilimali za watanzania?
 
We lazima utakua mzee. Kuanzia miaka 50 kwenda juu maana wengi wa miaka hiyo ndo wanaona uvunjaji wa sheria huu unaofanyika ni nidhamu. Wamekaa kibabebabe tu wanadhani nchi ni familia. Sitoshangaa kama wengi mnatesa wake zenu mkisema mnajenga heshima.
 
Kwa jinsi anavyoinyoosha nchi, anavyosimamia maslahi ya wanyonge, anavyopambana na rushwa, anavyorudisha nidhamu ya utumishi wa umma ni wakati muafaka sasa kusimama naye kama Taifa na kumpa fursa pana ili amalizie ichokianza. Tumkosoe kwa hoja na sio vioja ili kumjenga (constructive critism) badala ya kuropoka ropoka tu bila hoja.karibu tujadili hii kitu muhimu sana.

Boss utaifakwanza Umemsikiliza lakini Mheshimiwa na Spika Mstaafu Msekwa??? !!! Kama bado tafuta Clip yake umsikilize ukiwa umetulia. Kama bado amesema hilo suala la kuongeza muda wa Urais sio jipya, hata wao walishalijadili na wakaona halifai. Ukomo wa Urais ubaki pale pale miaka 5, tena ipunguzwe iwe minne aka 4.

Mimi binafsi nalipinga hili jambo, kuongeza miaka si jambo zuri na la busara. Miaka mitano inatosha, tena ni mingi sana.
 
Kwa jinsi anavyoinyoosha nchi, anavyosimamia maslahi ya wanyonge, anavyopambana na rushwa, anavyorudisha nidhamu ya utumishi wa umma ni wakati muafaka sasa kusimama naye kama Taifa na kumpa fursa pana ili amalizie ichokianza. Tumkosoe kwa hoja na sio vioja ili kumjenga (constructive critism) badala ya kuropoka ropoka tu bila hoja.karibu tujadili hii kitu muhimu sana.
Mazuri na mema mengi hu haribiwa na jambo dogo au maziwa yakidondokewa na nzi mnywaji huchukia Lita nzima na si ajabu kuyamwaga mheshimiwa anajitahidi sana kuijenga Tanzania mpya ila suala la watu wasiojukikana kutoka silaha hadharani kumwaga damu hususani ya watu wanaokosoa baadhi ya mambo ambayo ni dhahiri viongozi waliopita kama waliyafanya ni kiuficho sana ubabe na kukataa kukosolewa ni uchafu ambao naona angetawala miaka 4 inamtosha.
 
Back
Top Bottom