Mkuu Dragoon umerejea kwenye akili zako??Hakuna sababu ya kutawala miaka zaidi ya iliyowekwa. Vinginevyo itakuwa ni kutukuza binadamu, kumfanya mwanadamu aonekane kama Mungu.
Akili gani tena? Niko kawaida tu mkuuMkuu Dragoon umerejea kwenye akili zako??
Mimi napendekeza kwamba kwakuwa ameisha maliza miaka miwili na tunaona anavunja umoja wa kitaifa pamoja na amani ya RAIA, we should give him a three month notice to vacate the office
labda kwa katiba ya kisukuma na awe mfalme kabisa huko akishamaliza muda wake kikatiba!Kwa jinsi anavyoinyoosha nchi, anavyosimamia maslahi ya wanyonge, anavyopambana na rushwa, anavyorudisha nidhamu ya utumishi wa umma ni wakati muafaka sasa kusimama naye kama Taifa na kumpa fursa pana ili amalizie ichokianza. Tumkosoe kwa hoja na sio vioja ili kumjenga (constructive critism) badala ya kuropoka ropoka tu bila hoja.karibu tujadili hii kitu muhimu sana.
Unadhani itawezekana, au niswala la kutamanitu.Kwa jinsi anavyoinyoosha nchi, anavyosimamia maslahi ya wanyonge, anavyopambana na rushwa, anavyorudisha nidhamu ya utumishi wa umma ni wakati muafaka sasa kusimama naye kama Taifa na kumpa fursa pana ili amalizie ichokianza. Tumkosoe kwa hoja na sio vioja ili kumjenga (constructive critism) badala ya kuropoka ropoka tu bila hoja.karibu tujadili hii kitu muhimu sana.
Mbona we mwenyewe umeropoka kwny post nzima? Kwa nn na sisi tusikuropokee?Kwa jinsi anavyoinyoosha nchi, anavyosimamia maslahi ya wanyonge, anavyopambana na rushwa, anavyorudisha nidhamu ya utumishi wa umma ni wakati muafaka sasa kusimama naye kama Taifa na kumpa fursa pana ili amalizie ichokianza. Tumkosoe kwa hoja na sio vioja ili kumjenga (constructive critism) badala ya kuropoka ropoka tu bila hoja.karibu tujadili hii kitu muhimu sana.
kuna msemo eti waafrika wengine walijipeleka utumwani. ndo type ya watu kama wewe mmezaliwa ili kusifia na kushabikia.Kwa jinsi anavyoinyoosha nchi, anavyosimamia maslahi ya wanyonge, anavyopambana na rushwa, anavyorudisha nidhamu ya utumishi wa umma ni wakati muafaka sasa kusimama naye kama Taifa na kumpa fursa pana ili amalizie ichokianza. Tumkosoe kwa hoja na sio vioja ili kumjenga (constructive critism) badala ya kuropoka ropoka tu bila hoja.karibu tujadili hii kitu muhimu sana.
Kwa jinsi anavyoinyoosha nchi, anavyosimamia maslahi ya wanyonge, anavyopambana na rushwa, anavyorudisha nidhamu ya utumishi wa umma ni wakati muafaka sasa kusimama naye kama Taifa na kumpa fursa pana ili amalizie ichokianza. Tumkosoe kwa hoja na sio vioja ili kumjenga (constructive critism) badala ya kuropoka ropoka tu bila hoja.karibu tujadili hii kitu muhimu sana.
Sisi tukae kujadili upuuzi wako tuna muda mchafu? Kaa jikoni na kijani wenzio mpeleke hoja bungeni mtafanikiwa tu. Ila mjue Mungu hayupo pamoja na mipango yenu miovu ni lazima atatenda kitu ambacho hamtaamini. Endeleeni kuleta mawazo ya kipumbavu mkidhani Mungu amelala.Kwa jinsi anavyoinyoosha nchi, anavyosimamia maslahi ya wanyonge, anavyopambana na rushwa, anavyorudisha nidhamu ya utumishi wa umma ni wakati muafaka sasa kusimama naye kama Taifa na kumpa fursa pana ili amalizie ichokianza. Tumkosoe kwa hoja na sio vioja ili kumjenga (constructive critism) badala ya kuropoka ropoka tu bila hoja.karibu tujadili hii kitu muhimu sana.
Kwanini wewe usitamani utawale hadi 2040Kwa jinsi anavyoinyoosha nchi, anavyosimamia maslahi ya wanyonge, anavyopambana na rushwa, anavyorudisha nidhamu ya utumishi wa umma ni wakati muafaka sasa kusimama naye kama Taifa na kumpa fursa pana ili amalizie ichokianza. Tumkosoe kwa hoja na sio vioja ili kumjenga (constructive critism) badala ya kuropoka ropoka tu bila hoja.karibu tujadili hii kitu muhimu sana.