Natamani Rais Magufuli atawale hadi 2040

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
14,193
Reaction score
2,815
Kwa jinsi anavyoinyoosha nchi, anavyosimamia maslahi ya wanyonge, anavyopambana na rushwa, anavyorudisha nidhamu ya utumishi wa umma ni wakati muafaka sasa kusimama naye kama Taifa na kumpa fursa pana ili amalizie ichokianza. Tumkosoe kwa hoja na sio vioja ili kumjenga (constructive critism) badala ya kuropoka ropoka tu bila hoja.karibu tujadili hii kitu muhimu sana.
 
Mjipime kwanza jee! Mna timamu maana naona mnabadili ID kila siku kuleta mada zilezile
Mods hebu muunganishe huyu na vichaa wenzie wenye mawazo kama yake yaliyo tangulia
 
Unakumbuka ccm walioomba urais 2015???
Please acha process ichukue mkondo wake.
 
Kuna vijana wengi wazuri kama yeye tu. Wape chance na wao. Huwezi kujua mpaka nao uone uongozi wao.
 
Thread za kipuuz tu na zenye kujirudia ndio mnazileta hapa

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Watz tunapenda sana ushabiki na kufanya kazi.
Rais amesema hapa kazi tu. Hii kazi ni pamoja na kurumia akili ya kuchunguza na kutafuta kiongozi aliyemzidi yeye kwa uongozi, maadili na kuchapa kazi. Pia ambaye ataipa taifa sifa na kuifanya moja tena.
 
Naunga mkono hoja ccm wamefanya vzr sana maana ukimweka MTU mwenye aibu atawale nchi ingekua pori la wahuni ,kapunguza mambo ya dezo dezo sasa kila mtu atafanya Kaz kulingana na taaluma yake no fake kila kitu OG CCM oyeeeee

Mungu pamoja nasi
 
Hakuna atakaye support uzi wako maana jf kumejaa wengi wao ni bavicha. Over

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kwa jinsi anavyoinyoosha nchi, anavyosimamia maslahi ya wanyonge, anavyopambana na rushwa, anavyorudisha nidhamu ya utumishi wa umma ni wakati muafaka sasa kusimama naye kama Taifa na kumpa fursa pana ili amalizie ichokianza. Tumkosoe kwa hoja na sio vioja ili kumjenga (constructive critism) badala ya kuropoka ropoka tu bila hoja.karibu tujadili hii kitu muhimu sana.

Ukapimwe akili !! Kumbe ma Bashite mko wengi humu!!! Hiyo miaka unayotaka basi akaitawale familia na ukoo wako.
 
Back
Top Bottom