Natamani Rais Magufuli atawale hadi 2040

Punyeto imeathiri uwezo wako wa kutamani... Shubhakengemiti weeee
 
Rais wetu hana shida namuombea uzima siku zote, yeye si mkamilifu, ila tulipokuwa na yeye kuwa Rais ni sahihi kabisa, Rais tupo nyuma yako, kwa sana, wasiopenda uongozi lazima tuwatizame vizur, tuungane kuleta maendeleo, na sio kupiga kelele kila kukicha, Rais Rais, wakat ulimpa kura mwenyewe, ukijua kwamba ni CCM wale wale watakaonipa ulaji, tutaelewana tuu.
 
Thread za kipuuz tu na zenye kujirudia ndio mnazileta hapa

Post sent using JamiiForums mobile app
Hakuna upuuzi hapo, tuijenge Tanzania, tuache blablaa, tumsupport Rais wetu mzalendo, hata Ghadaf alianza hvi, wakasema hafai, tuache ufisadi tuvune tunapopanda bhasi.
 
Safi sn mkuu.....Tayari mkurupukaji mkuu wa taifa kasababisha tumelipa fidia "samaki wa magufuli"....bomberdier zimekamatwa kwa sababu ya mkurupukaji mkuu wa taifa ambaye ni mbumbumbu wa sheria na mikataba ya kimataifa....na sasa tunashikatikwa kwa sababu ya hutyu huyu mhuni tunaweza kulipa bili 130m punde....kweli atawale milele tena nasema.........Yeyey ni rais wa wanyonge si unaona kipaumbele chake ni kujenga international airport pale chato????!!!!!....Safi sana kwa wazo zuri sn mkuu ubarikiwe sana .....rais anaongoza kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi
 
Sio akutawale wewe na familia yako bali wewe uwe mke wake mkubwa. Na kama wewe ni -ME - basi kampe hata 0713. Hujitambui wewe. Kwetu sisi tunaojitambua pendekezo lako ni Upuuzi mtupu.
Mnaomchukia ni wachache mno tena ni kwa sababu zenu binafsi. Tukio wengi tunamuombea kwa Mungu.

Hizo Ulaya na Marekani mnazozitolea mfano ukisoma historia yake imejengwa kwa miaka mingi ya viongozi waadilifu na watu wao wamejituma na kutumia watumwa weengi ( ambao hawapo tena) hiyo wananchi ndo tuvimbe tuijenge nchi yetu.
 
kazi kubishana na mtu asiye na malindaa[emoji111] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa jinsi anavyoinyoosha nchi, anavyosimamia maslahi ya wanyonge, anavyopambana na rushwa, anavyorudisha nidhamu ya utumishi wa umma ni wakati muafaka sasa kusimama naye kama Taifa na kumpa fursa pana ili amalizie ichokianza. Tumkosoe kwa hoja na sio vioja ili kumjenga (constructive critism) badala ya kuropoka ropoka tu bila hoja.karibu tujadili hii kitu muhimu sana.
Mimi naomba wimbo wa taifa upigwe kwa ghafla mchana.
 
Mnaomchukia ni wachache mno tena ni kwa sababu zenu binafsi. Tukio wengi tunamuombea kwa Mungu.

Hizo Ulaya na Marekani mnazozitolea mfano ukisoma historia yake imejengwa kwa miaka mingi ya viongozi waadilifu na watu wao wamejituma na kutumia watumwa weengi ( ambao hawapo tena) hiyo wananchi ndo tuvimbe tuijenge nchi yetu.
Mnaompenda ni kwa sababu ya hongo!
Mmehongwa midume mizima.
 
Ikiwezekana hadi akuue ...
Kwa jinsi anavyoinyoosha nchi, anavyosimamia maslahi ya wanyonge, anavyopambana na rushwa, anavyorudisha nidhamu ya utumishi wa umma ni wakati muafaka sasa kusimama naye kama Taifa na kumpa fursa pana ili amalizie ichokianza. Tumkosoe kwa hoja na sio vioja ili kumjenga (constructive critism) badala ya kuropoka ropoka tu bila hoja.karibu tujadili hii kitu muhimu sana.
 
Kwa jinsi anavyoinyoosha nchi, anavyosimamia maslahi ya wanyonge, anavyopambana na rushwa, anavyorudisha nidhamu ya utumishi wa umma ni wakati muafaka sasa kusimama naye kama Taifa na kumpa fursa pana ili amalizie ichokianza. Tumkosoe kwa hoja na sio vioja ili kumjenga (constructive critism) badala ya kuropoka ropoka tu bila hoja.karibu tujadili hii kitu muhimu sana.
Utakua una shida kichwani si bure
 
Back
Top Bottom