Hii nchi ina zaidi ya watu milioni hamsini alafu unasikia mtu anasema mtu mmoja aongoze zaidi ya kipindi kilichowekwa kwa katiba na sheria za jamhuri ya nchi hii. mrejesho wangu aidha huyu mtu ni mkimbizi amezoea kuona haya mambo huko alikotoka kama ni raia wa nchi hii itakuwa hana marinda!Haiwezekani mtu rijali umsemee mwanaume mwenzio atawale mpaka 2040 wakati wewe upo na huna tatizo lolote!