babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,326
amtawale mkeo lakini sio watanzania
Acha hizo bangi wewe!Kwa jinsi anavyoinyoosha nchi, anavyosimamia maslahi ya wanyonge, anavyopambana na rushwa, anavyorudisha nidhamu ya utumishi wa umma ni wakati muafaka sasa kusimama naye kama Taifa na kumpa fursa pana ili amalizie ichokianza. Tumkosoe kwa hoja na sio vioja ili kumjenga (constructive critism) badala ya kuropoka ropoka tu bila hoja.karibu tujadili hii kitu muhimu sana.
Sasa hapa tunaongelea kutawala chama au Nchi .mbona mbowe anawatawala makamanda milele na ham to win povu?
Sasa unataka watu wasapoti ujinga? Hv ikifika hyo 2040 akaondoka tutampata wapi Magufuri mwingine ?mi nadhani atutengenezee ile katiba imara hata akiondoka atakayekuja aifuateHakuna atakaye support uzi wako maana jf kumejaa wengi wao ni bavicha. Over
Post sent using JamiiForums mobile app
Kwa jinsi anavyoinyoosha nchi, anavyosimamia maslahi ya wanyonge, anavyopambana na rushwa, anavyorudisha nidhamu ya utumishi wa umma ni wakati muafaka sasa kusimama naye kama Taifa na kumpa fursa pana ili amalizie ichokianza. Tumkosoe kwa hoja na sio vioja ili kumjenga (constructive critism) badala ya kuropoka ropoka tu bila hoja.karibu tujadili hii kitu muhimu sana.
Ila kwa mboe kutawala milele ni halaliSasa unataka watu wasapoti ujinga? Hv ikifika hyo 2040 akaondoka tutampata wapi Magufuri mwingine ?mi nadhani atutengenezee ile katiba imara hata akiondoka atakayekuja aifuate
Post sent using JamiiForums mobile app
Kwa jinsi anavyoinyoosha nchi, anavyosimamia maslahi ya wanyonge, anavyopambana na rushwa, anavyorudisha nidhamu ya utumishi wa umma ni wakati muafaka sasa kusimama naye kama Taifa na kumpa fursa pana ili amalizie ichokianza. Tumkosoe kwa hoja na sio vioja ili kumjenga (constructive critism) badala ya kuropoka ropoka tu bila hoja.karibu tujadili hii kitu muhimu sana.
Mkuu una mahaba sio ya nchi hiiMnaonaje Ndugu zangu watanzania?? Katiba mpya ichelewe ili tukubaliane kuongeza miaka ya kutawala Rais huyu ,hii haitoshi kabisaaa.
Tupaze sauti juu kuongeza miaka.