alumelunda
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 830
- 1,014
Hatofika huko Kabla ndoto ya Lema haijatimiaKwa jinsi anavyoinyoosha nchi, anavyosimamia maslahi ya wanyonge, anavyopambana na rushwa, anavyorudisha nidhamu ya utumishi wa umma ni wakati muafaka sasa kusimama naye kama Taifa na kumpa fursa pana ili amalizie ichokianza. Tumkosoe kwa hoja na sio vioja ili kumjenga (constructive critism) badala ya kuropoka ropoka tu bila hoja.karibu tujadili hii kitu muhimu sana.
Post sent using JamiiForums mobile app