Siyabonga101
JF-Expert Member
- Mar 8, 2016
- 2,424
- 2,300
"Kadri unavyozidi Kupanua na wengine wanazidi Kutamani" -Anna Tibaijuka.
Kwa kweli naunga mkono hoja....Kwa jinsi anavyoinyoosha nchi, anavyosimamia maslahi ya wanyonge, anavyopambana na rushwa, anavyorudisha nidhamu ya utumishi wa umma ni wakati muafaka sasa kusimama naye kama Taifa na kumpa fursa pana ili amalizie ichokianza. Tumkosoe kwa hoja na sio vioja ili kumjenga (constructive critism) badala ya kuropoka ropoka tu bila hoja.karibu tujadili hii kitu muhimu sana.
Mkuu...Uko sawa kweli kichwani??? Nitarudi baadae....Kwa jinsi anavyoinyoosha nchi, anavyosimamia maslahi ya wanyonge, anavyopambana na rushwa, anavyorudisha nidhamu ya utumishi wa umma ni wakati muafaka sasa kusimama naye kama Taifa na kumpa fursa pana ili amalizie ichokianza. Tumkosoe kwa hoja na sio vioja ili kumjenga (constructive critism) badala ya kuropoka ropoka tu bila hoja.karibu tujadili hii kitu muhimu sana.
Sasa hapo ni kioja km kawaida yenu, sio hoja km kawaida ya jfMkuu...Uko sawa kweli kichwani??? Nitarudi baadae....
Wewe uko Blind kwenye mambo ya Uchumi....Nimekwambia nitarudi...!!!Sasa hapo ni kioja km kawaida yenu, sio hoja km kawaida ya jf
Sent from my SM-T819 using JamiiForums mobile app
Unataka kuturudisha enzi zilee 'zidumu fikra za m/kiti wa ccm' ogopa sanaKwa jinsi anavyoinyoosha nchi, anavyosimamia maslahi ya wanyonge, anavyopambana na rushwa, anavyorudisha nidhamu ya utumishi wa umma ni wakati muafaka sasa kusimama naye kama Taifa na kumpa fursa pana ili amalizie ichokianza. Tumkosoe kwa hoja na sio vioja ili kumjenga (constructive critism) badala ya kuropoka ropoka tu bila hoja.karibu tujadili hii kitu muhimu sana.
Kama familia yako imekushinda mwambie, ila Taifa lilishamshindaKwa jinsi anavyoinyoosha nchi, anavyosimamia maslahi ya wanyonge, anavyopambana na rushwa, anavyorudisha nidhamu ya utumishi wa umma ni wakati muafaka sasa kusimama naye kama Taifa na kumpa fursa pana ili amalizie ichokianza. Tumkosoe kwa hoja na sio vioja ili kumjenga (constructive critism) badala ya kuropoka ropoka tu bila hoja.karibu tujadili hii kitu muhimu sana.