Natamani nikiolewa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine tuwe wawili

Sawa we unafaa kwa mahusiano ya dormant volcano!

Simu ikiita ni baada ya miezi mitatu na actually ni kuitiwa mashine like yow bebe nimekumisi uko wapi mke wangu... Nipo home bored...Well njoo kwangu basi i miss u sana! Mkimalizana hapo ni miezi tena kila mtu afanya yake.

Unaonekana wafit sana humu!
Haswa hapo umeelezea ninachokipenda kwenye mahusiano na hapo yatadumu milele
 
Uwe na amani tu, ni dini inasema mke zaidi ya mmoja ni dhambi na dini zimeanzishwa na watu. Fuata moyo wako, mke zaidi ya mmoja ruksa, tena Mungu wa kweli atabariki. Nasema Mungu wa kweli kwani binadamu bado hatujamtambua, hizi dini hazitatufikisha kwa huyo wa kweli. Fikiria kama kila mwanaume ataoa mmoja, wanaobaki wataolewa na nani?
 
Back
Top Bottom