Natamani nikiolewa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine tuwe wawili

Shemalecam69 ndo tulikutana nae ktk kufahamiana ndo mpka kujua ID yke huku nikuunganishe naye mkuu
Duh kwahyo ana papuchi na dudu ya kidume?
Sijawahi ona binadamu mwenye jinsia mbili mbona hatari hii.
Sasa hapo jinsia ipi inafanya kazi?
 
Duh kwahyo ana papuchi na dudu ya kidume?
Sijawahi ona binadamu mwenye jinsia mbili mbona hatari hii.
Sasa hapo jinsia ipi inafanya kazi?
Mkuu ana matiti tuu na mnara Hana mbususu kabisa
 
Ukristo hauna uke wenza hakuna ndoa ya hivyo katila kanisa labda ukiamua kuishi kwa matakwa yako binafsi sawa.
 
Habari zenu wakuu,

Sijui ni kawaida? I'm 27 yrs lakini katika kuishi kwangu kote mpaka leo, nimekua nkitamani siku nikiolewa baada ya muda kadhaa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine...yaani naona kama tukiwa wawili ndoa itakua na Raha.

Sitaki kuwa bi mdogo au mke wa pili nop natamani tu niwe mke mkubwa afu mme wangu nimruhusu aoe mwingine ambae natamani tuwe na amani. Nawaona wake za baba yangu mkubwa yaani wanapendana huwezi Dhani ni wake wenza.

Japo kwa dini yetu ya kikristo wanaamini ni dhambi but.

Personally nimeyatamani sana haya maisha.
Olewa kwanza ndio ujue tamu na mbichi za Ndoa bibie..

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
32 Reactions
Reply
Back
Top Bottom