unamanisha nn kusema hivyo? ukishapata mkopo unaacha kazi na kutoroka au? kwakweli jai ya maisha ni ngumu, kuna binti mmoja alikuwa anafanya kazi BRAC akawatumia watu wakope pesa afu wampe yeye kwa makuabaliano kuwa yeye atazifanyia kazi kisha atakuwa anawapa marejesho, mana yeye aruhusiwi kukopa, akakusanya mil 7 akasepa, tetezii tu sasa hizi zinasikika yuko malawi ameacha vilio tu huku,pole xana kaka we share the same experience umenigusa mno...mm nishafanya uamuz nishakopa na naingia ujasiriamali, kaz rasmi hz znabana mno maslah kiduchu na hakyna mabadiliko miaka na miaka, utaishia kuvaa tai tu ukipata shda ua 50000 unadata!.... nasubir mkopo uingie nisepe zangu