Natamani Niache Kazi

Natamani Niache Kazi

Nina advanced diploma in business management majoring in marketing.Help me wadau.Kama kuna vacancies.Am tired with this captivity of negativity life.

Hebu tembelea zoom, nimeona kazi nyingi sana huko zimetangazwa, huenda mojawapo ikakufaa na pia ukafanikisha. Kila la heri
 
Jiajiri ndugu, hizi kazi hata kama unalipwa Millioni 15 kwa mwezi, bado future ina giza, kujiajiri ndo mpango muzima, hata kama huna capital, start small, kuwa na utamaduni wa kufanya saving, na itese akili yako ifikirie la kufanya na kidogo ukipatacho, waaaallaaahhiiii utatoka

Mkuu kujiajiri wengi tunapenda lakini yataka moyo aisee, kiaina mimi naona ni ngumu sana, anyways hii ni experience yangu tu, mimi pia ni muajiriwa lakini kila nikisema nianze kibiashara nasita
 
pole xana kaka we share the same experience umenigusa mno...mm nishafanya uamuz nishakopa na naingia ujasiriamali, kaz rasmi hz znabana mno maslah kiduchu na hakyna mabadiliko miaka na miaka, utaishia kuvaa tai tu ukipata shda ua 50000 unadata!.... nasubir mkopo uingie nisepe zangu

sasa huo mkopo collateral yake nini? nilifikiri ni hiyo kazi unayofanya? kama ni hivyo, kuwa mwangalifu, kataa kubali kwa mfanyabiashara yoyote yule no matter how small you are, utategemea bank kwa transactions zako.
 
Ni kweli uyasemayo ST! Ni kweli upo ugumu hakuna anayebisha hilo ila zipo rewards za kutosha in the end ukivumilia na ni sustainable tofauti na kuwa kwenye payroll ya mtu. Actually waajiriwa wengi nikiwemo mm ni modern slaves hata tukatae huo ndio ukweli!

Mimi pia ni muajiriwa, sikatai mimi ni mtumwa kwa boss wangu lakini nina uhakika kila mwisho wa mwezi nanyanyua mkono na kudai changu, sasa kwenye biashara kuna kubuma huko, na ndio mimi huko kunanifanya niendelee na huku kuajiriwa. Nahisi elimu hii ya chuo ndio imenifanya niendelee kuogopa kujiajiri sababu nina rafiki zangu ambao wao hawakutaka kuendelea na masomo kiukweli sasa hivi wapo mbali mno kimaendeleo na ninawashukuru wananisaidia sana, unakuta mwezi haujafika kitu mfukoni huna lakini namshukuru Mungu rafiki zangu hawajawahi kunitupa hata mara moja siku zote nikihitaji mkopo wa bila riba wao hunikopesha na mambo yakiwa mazuri nawarudishia na wakati mwingine hua wanakataa nikiwarudishia kua niache tu wamenipa inisaidie.

It pains sana sana sana, maana wengi hua tunafikiria kuajiriwa tu
 
Umesema kuna pepo la madeni? Kwanza kemea pepo la matumizi. Likikutoka na pepo la madeni halikai kabisaaaa. Pili. Chezea mshahara usichezee kazi?
Pole ila hayo ni matatizo ya kusoma vitu laini. Shule unapeta tu. Mtaani msoto??
 
Fanya kazi kama mtumwa ili baadae uishi kama mfalme.Maisha si rahisi wandugu wapendwa,ujasiriamali huu unaozungumzwa kiwepesi hapa utapotosha watu,kujiajiri ni kazi kama kuajiriwa tena pengine ni ngumu kuliko kuajiriwa ila ujasiriamali haukwepi,lazima ufanyike maana ajira zenyewe sio guarantee,hukawii kupigwa chini.

Ndugu usiache kazi kabla biashara yako haijasimama otherwise utajuta.Wewe ni kijana na huu ndio wakati wako wa kujijenga so you must work harder to make it,hapa namaanisha kwamba lazima ubaki na ajira yako huku ukiwa na mradi wako pembeni,mradi ukishasimama ukazalisha hapo ndio unaweza kuacha kazi.Fanya savings,jinyime ili upate mtaji na jitume ktk kusimamia hiyo biashara
 
ushauri mzuri sana,kijana inabidi akomae na kazi huku akiweka msingi mzuri wa biashara yake na mambo yakikaa sawa ndipo anaweza kuhama
 
Fanya kazi kama mtumwa ili baadae uishi kama mfalme.Maisha si rahisi wandugu wapendwa,ujasiriamali huu unaozungumzwa kiwepesi hapa utapotosha watu,kujiajiri ni kazi kama kuajiriwa tena pengine ni ngumu kuliko kuajiriwa ila ujasiriamali haukwepi,lazima ufanyike maana ajira zenyewe sio guarantee,hukawii kupigwa chini.

Ndugu usiache kazi kabla biashara yako haijasimama otherwise utajuta.Wewe ni kijana na huu ndio wakati wako wa kujijenga so you must work harder to make it,hapa namaanisha kwamba lazima ubaki na ajira yako huku ukiwa na mradi wako pembeni,mradi ukishasimama ukazalisha hapo ndio unaweza kuacha kazi.Fanya savings,jinyime ili upate mtaji na jitume ktk kusimamia hiyo biashara

Nataka nitofautiane na wewe kidogo xfactor, hapo unaposema usiache kazi kabla biashara haijasimama, kwa experience ndogo niliyoyanayo japokuwa inategemeana na aina ya biashara lakini mtu wa kufanya biashara isimame mapema ni wewe uliye-invest.
 
Upo sahihi kabisa mkuu,ndio maana nikaanza kwa kusema "fanya kazi kama mtumwa" nikiwa na maana ukiawa umeajiriwa wakati huohuo biashara inahitaji usimamizi wa karibu basi huna budi kujituma na kujipanga kisawasawa.Ukiacha ajira wakati ndio kwanza unaanza biashara ukiwa huna uzoefu wa usimamizi utajikuta unakosa vyote.Cha msingi afanye research vizuri ya hicho kilimo cha tikiti ajue masoko yapo wapi na changamoto za kilima then asimamie shamba huku anafanya kazi,ajira ni backup na security incase things will go wrong
 
Kwa mjasiriamal anaetaka kijana wa kusaidiana nae kwny kaz zake ani PM
 
Kugaya haja ya kuvipa muvina vanu tulitofauti moli moli tufika hela. Ene uvipe suva na muhango mnofu uliga hela vanu halafu mwitakila bure halafu tutumila ludali kuvapatanisa badala ya kutumila kuvika mihango ja maendeleo. Nyongise kwa kunzelewa na ndilumba sana!
Kamwene!!
 
Duuuuuuh......!!
Siamini watu wanataka kuacha kazi aiseeeeee!! Duniani hatulingani.

Ila ninavyojua mimi kama umeshindwa kufanya chochote kile ukiwa umeajiriwa sizani kama unaweza jiajiri.
 
Kateli nshajua wewe utakuwa umeajiriwa na Erolink matapeli pale Customercare Vodacom mliman city..mwenyewe nilipita hapo nikaamua kupiga moyo konde na kufanya maamuz magumu
 
kama umepata nafasi ya kuajiriwa itumie vizur kwa kujifunza mengi na tengeneza channels za kutosha...ukipata experience waweza anza firm yako ukadeal na kitu ambacho umejifunza na una experience nacho vya kutosha..ondoa woga hakuna kinachoshindikana na siku sio nyng na wewe utaanza kuajir watu.
 
Nikiukumbuka msemo wa "acha kazi,uone kazi.........."najihurumia. Kazi mshahara mduchu, pia sio career yangu. Nimetafuta kazi miaka tangu niajiriwe 2011 nikitoka chuo nikajua najishikiza tu. Kumbe dah! miaka inakatika umri unaenda hela haiseviki ingawa nipo single pia pepo wa madeni ananiandama.

Najiona napoelekea ntakuwa tapeli.

God bless me and all who feel the hardships like I do.

Mie nahisi ni ngum hata kuchangia,kwani wewe MSHAHARA unaopokea ni kiasi gani?
Maana naona kwenye hili unakwepa,na inawezekana Muajiri wako akawa yupo right kulingana na mshahara anaokulipa na majukum aliyokupa.
Maana kuna watu wakiishalipwa Mshahara wanauvuruga halafu siku zinazobakia wanaona kama wanafanyishwa kazi bure.
Na cha pili kinachonitia hofu ni kwamba umewahi kukopa pesa ,sasa je ulikesha Bar na madem au ulifanyia nini?
 
Kugaya haja ya kuvipa muvina vanu tulitofauti moli moli tufika hela. Ene uvipe suva na muhango mnofu uliga hela vanu halafu mwitakila bure halafu tutumila ludali kuvapatanisa badala ya kutumila kuvika mihango ja maendeleo. Nyongise kwa kunzelewa na ndilumba sana!
Aale Mwagito, napuliha sana, uhongitse!
 
Back
Top Bottom