Natamani kuwa na mahusiano lakini mabinti wanakataa kabisa. Nifanye nini?

professional ethics

Senior Member
Dec 24, 2023
108
352
Toka primary, secondary, advance na hivi sasa chuo kikuu. Sijawi kuwa na mpenzi na hata marafiki wa kike na kutana na tu kwenye academic field only.

Napata changamoto sana mana Kila binti nae mu approach anakataa na Wengine Wanasema wapo kwenye mahusiano Tayari.

Nimejaribu kumuuliza moja ya rafiki yangu wa kike na wakaribu zaidi Kuwa huwa ananiona vipi, kasema Kuwa mm ni mtu wa philosophy, mtu hatari na mwenye maisha ya pekee sana.

Jamani nataman kuwa na mahusiano Lakini ma binti wanakataa kabisa.
 
Mwaga hela mkuu anza kumwaga hela tu, yani sasa hivi usiwe na malengo sjui kuoa au mahusiano serious wewe mwaga hela kwanza.
 
Puli ndio tatizo hapo,Ila raia wa humu watakuja wakudanganye ooh we ni introvert na blah blah blah kibao
 
Huna akili mjinga mkubwa we...anza kuuza hayo marinda yako ili uone wanaume wenzio wanavyojikaza
 
daah pole sana mkuu hyo hali ilinikutaga nmiaka ya nyuma nililia sana 😭😭mpka anilipokutana na mwamba akanipa mbinu mpka leo naitumia maisha yanaenda
 
Back
Top Bottom