Natamani siku zirudi nyuma ili nivunje mahusiano na huyu binti jirani

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Tangu kuwa naye kwenye mahusiano nakosa amani kabisa. Maisha yangu hayakwendi kama ninavyotaka

Ni jirani yangu kwenye hii nyumba ya kupanga. N.B: Nimejenga mkoani, niko hapa Dar kikazi kwenye biashara yetu ya kulangua mabaro ya mitumba

Sina amani kwa kuwa muda wote najieka smart sana, hata ile socialization na majirani wengine kama zamani, sina. Yaani muda wote nakuwa najishtukia tu. Ananiganda kila nikanyagapo maskani, nikisema wacha nitulie pale nje nile kaupepo, na yeye ni lazima tu atasogea, hivyo kunidhurumu haki ya kuwa na wengine pale mtaani. Ni mpole machoni, lakini ana wivu sana na kuna kipindi alizichapa na binti wa mwenye nyumba kisa mapenzi tu

Hata kwenda haja kubwa tu limekuwa tatizo. Imenibidi nianze kutegesha alarm ya saa 8 usiku, maake nahisi najishusha thamani kuzuru choo huku akiwa ananiona. Hata kama siku haina mchongo itanibidi nitoke tu ili asinione mwanaume bwege. Yaani maisha yamekuwa vururu sana

Kuna kipindi alipatwa na kichaa cha kutaka kuunganisha mali zake na zangu, eti tuishi chumba kimoja. Kuna muda napata ving'asti huko nje, nashindwa kuvileta magetoni kisa yeye. Naishia kugharamia Guest

Nifanye nini kumkataa na kumuepuka?
 
Kulikuwa na haja gani kusema umejenga mkoani?

Mwanaume mzima unaogopa kwenda kunya mpenzi asikuone,
YEYE HANYI?
Ili heshima yangu ibaki palepale mkuu

Suala la kuogopa kunya ni kwa sababu atanichukulia kinyerezi sana, kulakula ovyo, mchafu n.k
 
Tangu kuwa naye kwenye mahusiano nakosa amani kabisa. Maisha yangu hayakwendi kama ninavyotaka

Ni jirani yangu kwenye hii nyumba ya kupanga. N.B: Nimejenga mkoani, niko hapa Dar kikazi kwenye biashara yetu ya kulangua mabaro ya mitumba

Sina amani kwa kuwa muda wote najieka smart sana, hata ile socialization na majirani wengine kama zamani, sina. Yaani muda wote nakuwa najishtukia tu. Ananiganda kila nikanyagapo maskani, nikisema wacha nitulie pale nje nile kaupepo, na yeye ni lazima tu atasogea, hivyo kunidhurumu haki ya kuwa na wengine pale mtaani. Ni mpole machoni, lakini ana wivu sana na kuna kipindi alizichapa na binti wa mwenye nyumba kisa mapenzi tu

Hata kwenda haja kubwa tu limekuwa tatizo. Imenibidi nianze kutegesha alarm ya saa 8 usiku, maake nahisi najishusha thamani kuzuru choo huku akiwa ananiona. Hata kama siku haina mchongo itanibidi nitoke tu ili asinione mwanaume bwege. Yaani maisha yamekuwa vururu sana

Kuna kipindi alipatwa na kichaa cha kutaka kuunganisha mali zake na zangu, eti tuishi chumba kimoja. Kuna muda napata ving'asti huko nje, nashindwa kuvileta magetoni kisa yeye. Naishia kugharamia Guest

Nifanye nini kumkataa na kumuepuka?
Waisraeli wangekuwa na akili kama zako nakuapia Hamasi wangekuwa washaiteka Bethlehem.
 
Rudi tuu ulikotoka!
 
Kwenye vikao tulikubaliana:
1. Usitembee na jirani yako au mtu wa mtaani kwako.
2. Usiwe na mahusiano na mtu wa ofisini kwako au maeneo ya kazini.
3. Usifanye ngono na mtu yoyote wa kanisani/eneo unalofanyia ibada.

Kwani hukupata dondoo mkuu?
 
Back
Top Bottom