Naomba kama huna ushauri wa maana usicomment hapa please sitaki ugomvi na mtu huku.. Ok tuendelee.
Kwanza napenda kumshukuru mungu juzi last week nilitimiza miaka kadhaa kwa kweli mimi ni mtu mzima sasa sitaki kurudia tena makosa ya utotoni/ujanani. Sasa bwana mimi nina shida moja kutokana na huu uzee nilioingia sometimes nakuwa ni mtu wa hasira hasira na huzuni sana hata kwa vitu vidogo... So natafuta kitu ambacho nitakuwa nafanya ili mind yangu irelax nimenotice ukiwa na accumulation ya vitu kichwani ..unakuwa haupo happy saana!
Naweza kukumbuka hata jambo la huzuni la mwaka juzi naumiaa!sasa nataka nijaribu kitu ambacho kwa muda flani kinanipeleka dunia ingine rafiki zangu walinifundisha pombe ila mimi imenishinda naona chungu sana .. halafu kesho yake kichwa kinauma kama kinataka kutoka nimeshindwa kabisa. Unga nao naona ule unakuwa jinga sana tena useless huku duniani.
Mashost wameniambia bange haina madhara tena inakufanya uwe na nguvu mara mbili eti. Naombeni ushauri...
Copy kwa wavuta bange wote humu ndani kama wapo
ninao tayari
nitavuta tu hapa home nikifanikiwa...ila why not chooni?
pole besti aisee nakuomba usivute bange ni hatari kwa maisha yako na afya yako nakushauri umuombe Mungu atakusaidia na uwe mtu wa kusali sana na kuwa mtu ibada itakusaidia sana ondokana na wazo la kuvuta bange unamtendea dhambi muumba wakoNaomba kama huna ushauri wa maana usicomment hapa please sitaki ugomvi na mtu huku.. Ok tuendelee.
Kwanza napenda kumshukuru mungu juzi last week nilitimiza miaka kadhaa kwa kweli mimi ni mtu mzima sasa sitaki kurudia tena makosa ya utotoni/ujanani. Sasa bwana mimi nina shida moja kutokana na huu uzee nilioingia sometimes nakuwa ni mtu wa hasira hasira na huzuni sana hata kwa vitu vidogo... So natafuta kitu ambacho nitakuwa nafanya ili mind yangu irelax nimenotice ukiwa na accumulation ya vitu kichwani ..unakuwa haupo happy saana!
Naweza kukumbuka hata jambo la huzuni la mwaka juzi naumiaa!sasa nataka nijaribu kitu ambacho kwa muda flani kinanipeleka dunia ingine rafiki zangu walinifundisha pombe ila mimi imenishinda naona chungu sana .. halafu kesho yake kichwa kinauma kama kinataka kutoka nimeshindwa kabisa. Unga nao naona ule unakuwa jinga sana tena useless huku duniani.
Mashost wameniambia bange haina madhara tena inakufanya uwe na nguvu mara mbili eti. Naombeni ushauri...
Copy kwa wavuta bange wote humu ndani kama wapo
mbona kama umevuta ndo ukaandika hahahaNaomba kama huna ushauri wa maana usicomment hapa please sitaki ugomvi na mtu huku.. Ok tuendelee.
Kwanza napenda kumshukuru mungu juzi last week nilitimiza miaka kadhaa kwa kweli mimi ni mtu mzima sasa sitaki kurudia tena makosa ya utotoni/ujanani. Sasa bwana mimi nina shida moja kutokana na huu uzee nilioingia sometimes nakuwa ni mtu wa hasira hasira na huzuni sana hata kwa vitu vidogo... So natafuta kitu ambacho nitakuwa nafanya ili mind yangu irelax nimenotice ukiwa na accumulation ya vitu kichwani ..unakuwa haupo happy saana!
Naweza kukumbuka hata jambo la huzuni la mwaka juzi naumiaa!sasa nataka nijaribu kitu ambacho kwa muda flani kinanipeleka dunia ingine rafiki zangu walinifundisha pombe ila mimi imenishinda naona chungu sana .. halafu kesho yake kichwa kinauma kama kinataka kutoka nimeshindwa kabisa. Unga nao naona ule unakuwa jinga sana tena useless huku duniani.
Mashost wameniambia bange haina madhara tena inakufanya uwe na nguvu mara mbili eti. Naombeni ushauri...
Copy kwa wavuta bange wote humu ndani kama wapo
Hapo mwisho ungemalizia na valley kabisa ili iwe "rift valley"My friend, shetani ni mbaya sana...liitie jina la Yesu, omba utisho dhidi ya pepo wabaya, jiombee rehema na baada ya hapo, kubali kuwa mtoto wa Yesu!..huatajuta, ni raha tele,maisha bure,kwa kuwa dereva wa maisha yako atakuwa yesu, shetani hataomba rift...
yes,bange iko poa sana.Ila uwe na uhakika wa kipato,ukiwa choka mbaya utadata.Hiyo hata sisi wabunge tunatandika na tunatoa michango makini tu mjengoniNaomba kama huna ushauri wa maana usicomment hapa please sitaki ugomvi na mtu huku.. Ok tuendelee.