- Thread starter
- #81
Ili upendwe ni lazima nawe upendeke!
Unaweza ukawa unapenda lakini hujiweki ktk mizani ya kupendwa!
yericko this was 2011, naamini nimejifunza mengi na yananisaidia sn kwa ss ktk mahusiano
Ili upendwe ni lazima nawe upendeke!
Unaweza ukawa unapenda lakini hujiweki ktk mizani ya kupendwa!
Lol, pole sn, ila mie cku hz ninaganzi ya hatari, ctaki kupenda kihivyoooo, na najikuta naumiza mtu kihisia na ninaona kawaida tu