Natamani kuoa lakini...

Natamani kuoa lakini...

inawezekana kuna ukweli kwasababu hadi wamama wa miaka 40+ wanachepuka na vijana wadogo.
Sasa wewe ulizani wamama wenye 40yrs niwazee? Best Anko umepotea sio kabisa damu bado sasa
hao wengi waume zao wanakuwa 50-60 wamezeeka nasiku hizi vusukari mmm shida tupu, {mie napita tu}
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sana wanabwabwaja ndoa ngumu wakati vitambi vinachomoza [emoji23][emoji23] acha nicheke mie
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hapo ndio nashindwaga kuwaelewa
 
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] hapo ndio nashindwaga kuwaelewa
Hapo hakuna kumsikiliza mtu nikutafuta anaye kufaa unaoa ukiwasikiliza watu
mmmm ukaa upweke mpaka unazeeka ndoa zao hazivunjiki zipo tu.
 
vipi mumeo ameanza kuchepuka au bado?


Once a baharia always a baharia
Haaa haaa huyu mhenga mwenzangu hata kama anachepuka basi itakuwa ni kwa usiri mkubwa sana maana
hakuna kosa kama hilo kulisamee kirahisi rahisi kama anataka tuishi kama fisi na chui basi ajiachie tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Subiri mkeo mtarajiwa amalize kuwaga tundu dogo huko mtaa wa pili.
 
Mkuu, muombe MUNGU atakupa mke umtakaye.
Na umri mzuri ni miaka kuanzia 29+ kwa kuoa.
 
Ukiona katoto kanavuta bange unaweza kukakataza au kukaambia kasubiri kwanza kakue ndio kaanze kuvuta, hata kama wewe mtu mzima una vuta bangi kutwa mala tatuu kwa wakati huo... au hata kama mzee ana chapa nje, akikaa na watoto wake utakuta ana waonya juu ya upoga mizigo mizigo nje 😁😁😁

.
 
Hao bar maids ulikuwa unachukua wa miaka 27 kurudi nyuma ?
Umesha sema bar maids it means that ni vipozeo haijarish umri, sasa mke nitakaye ishi naye milele na milele amina duh!
 
Back
Top Bottom