Natamani kuoa lakini...

Natamani kuoa lakini...

Hata mie nimemuelewa sana huyu mwamba

Mpaka nimeshangaa kumbe 'wanaume' bado wapo duniani

Ni kweli kabisa mkuu ila ni wachache sana ambao tumebaki wengi wao wamekuwa ni mifano tu ya wanaume my loveliest one.
 
inawezekana kuna ukweli kwasababu hadi wamama wa miaka 40+ wanachepuka na vijana wadogo.
Tatzo sio kuchepuka ye achepuke tu ila ahakikishe tunaweka sawa maisha yetu, lakn kumpata mwanamke alye tayar kwa ku fight ni issue.
 
Nimehangaika vyakutosha, nmesalitiwa vya kutosha nikaamua niingie katika umalaya sasa nikawa mimi na ma bar maid, bar maid na mm, nikawa mtu wa hit n run lakini kwasasa sion faida yake zaidi umri unasonga na ninahitaji kuwa na mke na familia kwa ujumla.

Shida inakuja hivi vibinti vya sasa vyenye umri wa miaka 18 mpaka 25 hivi ambavyo vinakula ujana bado wewe uviingizie suala la kuoa vinaweza kukuelewa lakini je' vitatulia na kufanya maisha?

Kwan sasa hivi unaoa mtu kwaajili ya maisha japo kuhitaji papuchi ni mhim pia [emoji25][emoji25][emoji25] Vijana wa sasa tunakazi na tutapata kazi bora wazee wa zamani.

Hapa nnaona bora kuishi mwenyewe [emoji42][emoji42][emoji42] , maana hv vitoto havitambui maisha hv ninaona kwa watu pia navutia picha.
We masuala ya kuoa hayana ushauri amua utakavyotaka
 
Ndoa tamu mkuu me naona hasa ukimpata mtu sahihi.

Maana naona wenzangu wananenepa tu na kutoka vitambi. Wakati me bachelor nazidi kukonda huku stress haziniishi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sana wanabwabwaja ndoa ngumu wakati vitambi vinachomoza [emoji23][emoji23] acha nicheke mie
 
Back
Top Bottom