Natamani kuoa lakini...

Natamani kuoa lakini...

Kama una 27... kutokana na geographical location ya Tanzania. Vumilia kama miaka 6 ndio uoe basi, maana kipindi una 33 + tafuta mtoto alie komaa kidogo au subiri ufikishe 35 + alafu uchukue alie komaa... mwanaume wa miaka 27 anakuwa hajakomaa sana, tofauti na mwanamke wa miaka 27... watoto wa kike wanawahi sana kukomaa kimaisha tofauti na Me 🙄🙄🙄🙄
kwa hiyo muda sahìhi wa mwanaume kuoa ni angalau 33 na kuendelea ?
 
Back
Top Bottom