rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,163
- 43,983
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kanji afai ww, bora niishi mwenyewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kanji afai ww, bora niishi mwenyewe
Kwa mwanaume umri huo Bado Sana kutulia[emoji1787][emoji1787] mkuu mimi ninamiaka 27 nitafute mwanamke wa miaka 36+?
Mwanaume una danga?Asante mkuu ngoja niendelee kudanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kweli mkuu,Kama una 27... kutokana na geographical location ya Tanzania. Vumilia kama miaka 6 ndio uoe basi, maana kipindi una 33 + tafuta mtoto alie komaa kidogo au subiri ufikishe 35 + alafu uchukue alie komaa... mwanaume wa miaka 27 anakuwa hajakomaa sana, tofauti na mwanamke wa miaka 27... watoto wa kike wanawahi sana kukomaa kimaisha tofauti na Me 🙄🙄🙄🙄
Danga alafu ubet[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante mkuu ngoja niendelee kudanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3]Mwanamke wa kuoa na kupata utulivu ni kuanzia 36+ na awe kazaa watoto au mtoto [emoji852]
[emoji1787][emoji1787] mkuu mimi ninamiaka 27 nitafute mwanamke wa miaka 36+?
Angalia usije ukadanguliwa na wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante mkuu ngoja niendelee kudanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inategemea na matunzo yakoAtazeeka mapema huyo mkuu [emoji1787][emoji1787]
Kweli kabisa. Mimi nashauri afike 32 kabisa. Saivi aendelee tu kubetMzee baba we kula bata umri huo bado subiri ufike 29-30
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli kabisa. Mimi nashauri afike 32 kabisa. Saivi aendelee tu kubet