Jamani za siku, nilikuwa nimebanwa na shughuli kidogo ndo maana nikapotea wapendwa.
Hivi jamani nitampataje BujiBuji mimi namzimia sana na ningependa kukutana nae. Je unaishi mkoa gani na unafanya kazi gani? una familia au uko single?
Mi mwenyewe tayari nimesha piga lunch kwenye PMMipira iliyo kufa kama hii enzi zangu ningalikuwa tumesha piga lunch tayari tukisubiri w.end kujuana
njoo nikulishe miziziHivi mimi mbona sizimikiwi jamani, am handiiii bhandu bha kyala
dila gawiza nkoiNg'wangaluka bhabha!
Nadhani alikuwa anakutania, hivyo hakukuwa na haja ya kutumia lugha kali kiasi hicho
Niliikemea, ila hadi leo sijapata maana yake. Najiliwaza tu na comedian wetu bujibuji na majibu ya ajabuwe giLESi!!!!vipi ile ndoto haijajirudia!!
pole,ila siyo kila ndoto inakuwa na maana kama ulivyoiota!!mbona Bujibuji aliota anajifungua,ilikuwa ndoto tu na wala haikumuumiza kichwa kwani toka lini mwanamme akajifungua!!na wewe yako huenda ilikuwa ndoto tu!!!usiipe nafasi sana utakufa kwa hofu!Niliikemea, ila hadi leo sijapata maana yake. Najiliwaza tu na comedian wetu bujibuji na majibu ya ajabu
we hujui raha ya kutongozwa nini??
Hebu ngoja nikuwekee haka kawimbo katakufundisha kitu
afadhali nimekuona.
shkamoo baba:A S 27:
etiiii, :mimba: yangu uliigawiana wapi na maza?
mstake kuniambia kuwa bujibuji anatongozwa hadharani
He he he, ngoja nika-update lile gazeti la udaku
'Bujibuji atongoza, afunika uso kwa soni, amaliza majani yaliyokuwa karibu yake"
He he he, kwenye raha ya mtongozo aibu
Hivi mimi mbona sizimikiwi jamani, am handiiii bhandu bha kyala