Binafsi napenda saaaana ukweli katika maisha yangu but nauthamini saaana mchango wa uongo katika maisha yangu.
Nampa pole huyo unayemwita mwenza kwa kumkana mwanae kisa mwanamke. Me nina mtoto nimezaa kabla ya kuoa but piga ua na ugalagaze siwezi kumkana mwanangu.
Ulipomuuliza akawa mkali kisha akatishia kukuacha. Fungua akili.
huu ndio ushauriFIRST
1. Kakucheat mpaka kapata mtoto
2. Anakataa wakati ni kweli( Wazazi wako sio wajinga maana hawana sababu ya kuongopa)
Kubwa kuliko yote ni kukutishia kukuacha, yani hili ndio baya na ndio ambalo unatakiwa kuliangalia zaidi kuliko hata Swala la kutokuwa muwazi.
Jamaa hakupendi, anakuchukulia poa maana angekuwa na busara na upendo asingekutishia kukuacha wakati yeye ndio mkosaji. Hapo hamna mume dada yangu
SECOND
1. Umewadharau wazazi wako na kutowaamini
2. Mtu anakutushia kukuacha halafu na wewe unajaa upepo unapanic
Kawaombe msamaha wazazi wako kwa ulichowafanyia, wanakupenda mpaka wakakusaidia kufanya uchunguzi
ambao wewe ulitakiwa ufanye au utambue sababu ni mtu wako.
ww mdada huu ndio ushauri,ufanyie kazi ,huyo sio mwanaume
Mwisho kabisa acha Kuwa kama kipofu, Kupenda gani huko ambako unaona red flag waziwazi halafu unang'ang'ania tu kuendelea na mahusiano kisa kakuahidi ndoa!! Ndoa haina maana kama unaolewa na mtu ambaye hajali hisia zako kiasi cha kukutishia kukuacha kwa kosa lake mwenyewe. Atakuendesha sana huyo
MWISHO
Mimi nina mtoto nje ya mahusiano yangu Lakini huyo jamaa yako sikushauri aisee sababu hana busara,ishu sio mtoto bali ni jinsi gani kama mwanaume anayekupenda ambavyo anatakiwa kulishughulikia hilo swala.be careful.
Kazi Kwako
I am out
Baada ya kumcomfront kuhusu kuwa na mtoto kwa nini atishie kukuacha???????anaona kuwa you need this relationship more that he does.
Kwa nini alipoona umejua hakukiri?? maana kukuficha at the beginning pengine alikuwa anatafuta wakati muafaka..lakini baada ya kuona umejua angekubali tu
Msimamo wako wa kutotaka kuingia katika ndoa na mtu mwenye mtoto sio mzuri..ila kuingia katika ndoa na mwanamme wa namna hii ndo mbaya kabisa.
Show him that you are not desperate dada!!! mwambie tena hii ishu na akitaka kutishia kukuacha muulize "do you see me crying?"
Na kwa nini unaacha watu wengine wakufanyie kazi yako mwenyewe ya ugunduziiii? unajua sana kupenda eeeh?
Capt Nemo
please tell me why mtu akiweka msimamo hataki mtu mwenye mtoto tayari ni vibaya
kwanini tumpangie mtu vigezo vyake vya kuchagua mwenza?
kama watu wanataka wenza weupe,wenye miguu mizuri,big a@@ etc na ni vigezo ambavyo ni vya kuzaliwa navyo na tunaacept why not kigezo ambacho most times kipo within our capabilities?
Mimi nadhani we need to respect ones decision na jinsi anataka kuishi as long as hamuumizi mtu
huwezi jua huyu dada aliwahi kupitia vitu gani utotoni ambavyo vimemuinfluence kuwa alivyo leo
for example:
i have a friend,her grandmother aliolewa na mume wa mtu and huyo bibi alitoa kama laana kabisa uzao wake usije kuolewa na mwanaume aliye na watoto na mke au mke plus jinsi my friend alivyoona maisha aliyoishi bibi yake na wale watoto aliochukua kuwalea,they always disrepected her hadi utu uzima she never wants a man's kids kuja kuishi nae..naelewa sio kosa la watoto ila pia kids can be a challenge.nalea wangu na i know.
Hata mimi hapo ndio nimeona maruerue
mtu anakutishia kukuacha kwa makosa yake?????
it reminds of my friend,yeye alikua jamaa akikosea naulizwa "sasa kama unaona nina kosa sana unakaa na mimi ya nini,si uondoke???
hizi ni dharau za hali ya juu
Tatizo sio mtoto ila uongo wa huyo kaka
mtu unapoanza uhusiano na mtu usidanganye vitu ambavyo ni vya msingi e.g umri,watoto,income(sio bank statements)
we tend to give illusions to people we want to be with na they fall inlove with the illussions and not the real person and we expect them to suck it up wakishatujua na maisha kuendelea..once trust is broken it takes a century to rebuild it and at times a century is not enough.
my dear unanihukumu bure...wala sijasema nachukia huyo mtoto.Ila unapokua muwazi kwa mwenzanko af ye akakuficha inauma esp.ukizingatia huyo mtoto kazaliwa ndani ya mahusiano yetu.Kama mtu anaficha hili nadhani nexttym ataficha kinda zaidi ya hili
Alizaa kabla yako au baada yako? Unaishi nae nyumba moja au mna ukaribu yaan kukutana mara kwa mara?
My capture ....kuzaa sio tatizo but kutokuwa mkwel ndio tatizo though it depends sometimes inawezekana alidanganya kulinda penzi lenu au kukuepusha na bp na mengine
Pili unaonekana hauko serious nae au hujui tofaut ya urafik na ndoa ulijisahau ukahis bado mtakuwa marafik na kusahau ndoa inataka follow up ya maana as long mnajua wanawake muwengi
Ushauri wangu
Tatu we unaonekana unajua kutenda miujiza...how come you let your parents know your privacy before you? Kuna mengine siri za ndan hata wakijua haina faida kwao hayo ufe nayo wewe sio wao
Ushauri wangu....if you love him na uwe na uhakika kama nae anakupenda unless otherwise atakudanganya
Talk to him ajue unajua then mjue what next
Pili jifunze kujua what marriage wants especially for girls
Tatu jifunze kuwa na privacy sana sana kwa ndugu kwani wao hawajui thaman ya moyo wako zaid yako
NDO HAPO sasa namimi sijamwelewa, nimepitia post nikaona labda ni mimi tu kumbe tuko pamoja!ila mimi nakulaumu, ulitegemea jamaa angekua anapozea wapi kipindi chote hicho?, its your fault lady.
Dear Tracy,
Its true we have to respect a person's decision kwa sababu ana reasons zake...na the way a personchooses to live, thats ok.
But you will agree with me that we are living in a world that is ever changing, and what happened yesterday has very few chances of happening tomorrow.
Kwa mfano uliotoa its further proof kwamba watu huwa tunapenda kujudge kwa kitu kilichotokea kwa watu wengine..na we generalize people..one of the biggest mistake in life...Giod created us differently and put in us different traits..so we act differently though under the same mazingira.
Nimesema ni vibaya kudhani sio vyema kuolewa/kuoa mtu ambaye tayari ana mtoto kwa sababu hapo msukumo unakuwa prejudice na sio real facts. You can agree with me kwamba inatokea mara nyingi tu watoto wawili wa familia moja wanakua katika mazingira magumu sana mmoja anaturn out jambazi la kutupwa na mwingine anakuwa a very respectable and responsible person.
Na kigezo kingine ni "do unto others..." theory...in all honesty kuna mwanamke anayeweza kukaa akasema "its alright kwa kakangu kukosa mke..kwa sababu alipata mtoto kabla hajaoa?"
we, almost all, engange in pre-marital sex..na sidhani kama kuna mtu ambaye at one time hajawahi kufanya mapenzi bila kinga...calenders do fail and condoms do burst, vidonge, vijiti nk are all human production...which can not guarantee 100% pregnancy protection..sasa suppose mtoa mada angepata ujauzito kwa "bahati mbaya" would she tell the guy proposing marriage to her kwamba "no, I cant marry you, see I have a kid already?
Lastly I beg you to agree with me that we can choose the way we wish to live, we can have prejudice all we want but there are some universal truth which every sensible person will agree to:
I may choose to be a drug abuser..hurting no one..but that can not deter a person from telling me drugs arent good..agreeing with him will be my choice of course