Natamani kujua kwanini alinificha jambo hili

shida ni unatshiwa kuachwa kwa kuwa amehisi unajua ana mtoto na si kitu cha kutishia kabisa..kitishka bsi una fanya makosa..u deseve t knw anaye au hana ii uwe huru kuamua kuedelea naye au la.maana mtoto alimpata either b4 you au aftr uko naye ishue ni usolve so be strong sana face him akuambie, akikutishia bas utakuwa na maisha ya kutishiwa ili usipte ukweli...mahusiano u should live as friends n lovers ...

mwisho maamuzi hayashauriki ni yako kufanya kinachoshauriwa ni hali inaotakiwa kuwa sahihi au la
 
Inaonekana moyo wako haupo tayari kumpenda huyo kaka, kwakuwa ana mtoto.

Kwa jinsi inavyoonekana huyo mwenzio tayari ni mzazi.

If you keep on with him you will never be happy kwakuwa moyo wako hautamwamini tena.

Habari wanajamvi,

Nitangulie kwa kusema nimelelewa na wazazi wangu katika maadili mema na wamejitahidi mno kunipatia mambo yote ya msingi kama elimu na matunzo mazuri.Nikiwa masomoni nilijitahidi kuzingatia masomo, japo vishawishi vingi. Nilitaka nisome kwa bidii nisiwaangushe wazazi wangu.

Nilipata rafiki (kaka) ambae alinipenda nikakubali ila kwa maelewano kua tusaome kwanza mengine yafuate.
Baada ya kumaliza masomo mwenzangu alifanikiwa kupata kazi mkoa tofauti, na mimi nikatamani kuendelea na shule kidogo. Baada ya kumaliza na mimi nilibarikiwa kupata kazi.

Maisha yaliendelea tukiwasiliana vizuri, ikafika sehemu nikaona ni wakati mzuri wa kuwajulisha wazazi kua nimepata mtu ambae ningependa awe mwenza baadae. Wazazi walinipongeza na kuniasa pia juu ya hatua hii niliyofikia. Tuliendelea kuongea kwa kirefu na kuliombea jambo hili.

Baada ya miezi kadhaa nilipata simu kutoka nyumbani wakaniuliza maendeleo ya mwenzangu nikajibu waote wazima na mengineyo.Wazazi walinijulisha kua baada ya kuongea na mimi waliona wafanye uchunguzi kujua mwanao naeleka kwenye famalia gani na katika kuchunguza kwao waligundua mwenzangu ni baba wa mtoto mmoja.

Nilipata sana mshtuko kwani sikutegemea na nilimwamini mno pamoja na kua muwazi kwake hakuwahi hata kuniambia.Nililia na kuwaambia wazazi sio kweli hawakumpenda mpenzi wangu walitaka tu tuachane. Waliumizwa na manenoni yangu na wakasema wao ni washauri tu, maamuzi ya mwisho ninayo mimi.

Niliimuuliza mwenzangu ambae aliruka akakasirika na kutishia kuniacha...nilimbembeleza kumwambia kama sio kweli basi tuendelee. Yakapita tukaendelea.Hivi karibuni nimepata tena simu kutoka kwa mtu wetu wa karibu aliyeniambia jambo hilo hilo tena na details za kutosha kumhusu mpenzi wangu.

Nimekosa furaha sana na sina amani.Natamani nichunguze ili nijiridhishe ile sijui pakuanzia. Msimamo wangu ni kutoingia katika ndoa na mtu aliyezaa tayari bora angeniambia mapema, nijue moja natamani nijue kwanini alinificha kwa miaka zaidi ya minne.

Naombeni busara zenu juu ya hili

Asanteni
 
Kwanza hongera kwa kulelewa vyema na wazazi wako,wanakupenda sana na wanakujali sijui wewe ndo mtoto wa pekee katika hiyo familia...

Inaelekea pamoja na miaka yote minne ya Uchumba wenu either hamjuani vyema au humjui vyema mwenzako.

Anyway,binadamu anaweza kukosea na kujirekebisha katika makosa yake,ila kama wewe ni mkristo ndoa ukiikosea ni msalaba wa kufika nao Golgota huo.Kwanza niseme wajibu uliokuwa unatakiwa kuufanya wewe wamefanya wazazi wako,washukuru sana kwa hilo narudia wapongeze kwa dhati.

Pili niseme,kuwa na mtoto kabla ya kuoa sio kosa,lakini hapa katika suala lako naona kuna kasoro flani ambazo ni bad alert kwako,zingatia.

Kwasababu ukweli umefahamika then unataarifiwa mtu analeta VITISHO,hakuna nia nzuri hapo kwasababu suala ilikuwa sio kukataa bali ni namna aliyotumia kukataa,ujue there are so many hidden of bad behaviour,ni kweli unaweza kukataa ili kushusha presha yako then aje aseme ukweli ibaki wewe kuuliza maswali yako,ila kwa yeye kutumia njia ya vitisho ujue haitaishia hapo.

Nafikiri hapa utapata majibu mengi,ila njia ya mwisho kaa na familia yako,hasa mama,shangazi,dada na kaka zako kama wapo watakupa ushauri mzuri sana.

Unatkiwa umjue mwenza wako wakati wa shida hasa migogoro na hasira anai-handle vipi...

In relationship kuna vitu vya msingi sana e.g God fearing person,communication,trustworthy,faithful na mtu anayewajibika na kujali familia..je hayo anayo?

Mwsho uamuzi ni wako ila kwa ushauri wangu BIG "NO"
 
Habari wanajamvi,

Nitangulie kwa kusema nimelelewa na wazazi wangu katika maadili mema na wamejitahidi mno kunipatia mambo yote ya msingi kama elimu na matunzo mazuri.Nikiwa masomoni nilijitahidi kuzingatia masomo, japo vishawishi vingi. Nilitaka nisome kwa bidii nisiwaangushe wazazi wangu.

Nilipata rafiki (kaka) ambae alinipenda nikakubali ila kwa maelewano kua tusaome kwanza mengine yafuate.
Baada ya kumaliza masomo mwenzangu alifanikiwa kupata kazi mkoa tofauti, na mimi nikatamani kuendelea na shule kidogo. Baada ya kumaliza na mimi nilibarikiwa kupata kazi.

Maisha yaliendelea tukiwasiliana vizuri, ikafika sehemu nikaona ni wakati mzuri wa kuwajulisha wazazi kua nimepata mtu ambae ningependa awe mwenza baadae. Wazazi walinipongeza na kuniasa pia juu ya hatua hii niliyofikia. Tuliendelea kuongea kwa kirefu na kuliombea jambo hili.

Baada ya miezi kadhaa nilipata simu kutoka nyumbani wakaniuliza maendeleo ya mwenzangu nikajibu waote wazima na mengineyo.Wazazi walinijulisha kua baada ya kuongea na mimi waliona wafanye uchunguzi kujua mwanao naeleka kwenye famalia gani na katika kuchunguza kwao waligundua mwenzangu ni baba wa mtoto mmoja.

Nilipata sana mshtuko kwani sikutegemea na nilimwamini mno pamoja na kua muwazi kwake hakuwahi hata kuniambia.Nililia na kuwaambia wazazi sio kweli hawakumpenda mpenzi wangu walitaka tu tuachane. Waliumizwa na manenoni yangu na wakasema wao ni washauri tu, maamuzi ya mwisho ninayo mimi.

Niliimuuliza mwenzangu ambae aliruka akakasirika na kutishia kuniacha...nilimbembeleza kumwambia kama sio kweli basi tuendelee. Yakapita tukaendelea.Hivi karibuni nimepata tena simu kutoka kwa mtu wetu wa karibu aliyeniambia jambo hilo hilo tena na details za kutosha kumhusu mpenzi wangu.

Nimekosa furaha sana na sina amani.Natamani nichunguze ili nijiridhishe ile sijui pakuanzia. Msimamo wangu ni kutoingia katika ndoa na mtu aliyezaa tayari bora angeniambia mapema, nijue moja natamani nijue kwanini alinificha kwa miaka zaidi ya minne.

Naombeni busara zenu juu ya hili

Asanteni
Mkuu
jimbo bado lipo wazi ?
 
Ikiwa tu huyo mtoto alipatikana ukiwa upo nae kwenye mahusiano tayari bas unaweza kuwa na was was vinginevyo hupaswi kabisa yan[emoji5]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom