Hizi swaga ni za kilevi usituchore weweHabari Wana JF, Kama Heading Inavyosomeka Hapo Juu, Mimi Ni Kijana wa Miaka 29, Nimeajiriwa, Kazi Imenitenganisha Na Familia,( Mzazi Mmoja ambaye Ni Mama, Maana Baba Alifariki Kipindi Nikiwa Mdogo, Nimekua Mlevi Kupindukia, Simu Sipigi Nyumbani, Hela Siioni Inakoelekea, Mama Sina Mahusiano Nae Mazuri, Mahusiano Yangu Hayaeleweki.
Misuko Suko Kibao, Ajali Haziishi, Sioni Wapi Naelekea, Asubuhi ya Leo Wakati Natoka Club , Nikiwa Na Mwanamke Niliempata Huko, Nimepata Ajali Mbaya Sana, Nimepata Majeraha Madogo Tu, Ila Gari Imeumia Sana, Na Kwa Vile Nilikua Nimelewa, Nikampigia GF Wangu Akaja Kushughulikia Kuivuta Gari, Mimi Na Yule Mwanamke Tukawa Tumeshaondoka, Hata Sikufikiria Kama Nitakutwa.
Mbaya Zaidi Nikafumaniwa Na Yule Mwanamke, Ilikua Aibu tupu Mtaani, Naona Siheshimiki Tena, Nyumba Ninayoishi Ni Ofisi Nipo Na Baadhi ya Staff Wenzangu wapo Na Familia Zao, Sijatoka Nje Siku Nzima ya Leo, Kilicho Kichwani Kwangu Ni Kujiua Tu, Sitamani Tena Kuishi, WHY ALWAYS ME? Nimemkosea Nini Mungu, Najua Natenda Dhambi, Ila Niende Huko Labda Nitapumzika. Samahanini Kwa Maelezo Yangu Marefu
Ila Hili Lipo Moyoni Mwangu na Lazima Nilitekeze, Napokea Maoni Yenu Wadau, NAKOSEA WAPI?
Naam...lakini tunapaswa kuthamini dogo na kubwa.Na pia kushukuru dogo na kubwa.Ni kweli si unajua binadamu ni kama vidole tu?Hatufanani
Utampoteza ndugu yetu.Mkuu tekeleza azima yako...jiue tutakutana paradise...
Kila mtu ana njia yake yake ya kufia,wengine watakufa na ukimwi, ajali, malaria, kuuawa nk.Wewe unaepanga kufia kwa kujiua unaweza ukashindwa kwa sababu Mungu ndie anaepanga tarehe ya mtu kufa.Omba watu wakusaidia kuepukana na matendo yanayoashiria kukuletea matatizo.Habari wanaJF, kama heading inavyosomeka hapo juu, mimi ni kijana wa miaka 29, nimeajiriwa, kazi imenitenganisha na familia,( mzazi mmoja ambaye ni mama, maana baba alifariki kipindi nikiwa mdogo, nimekua mlevi kupindukia, simu sipigi nyumbani, hela siioni inakoelekea, mama sina mahusiano nae mazuri, mahusiano yangu hayaeleweki.
Misuko suko kibao, ajali haziishi, sioni wapi naelekea, asubuhi ya leo wakati natoka club , nikiwa na mwanamke niliempata huko, nimepata ajali mbaya sana, nimepata majeraha madogo tu, ila gari imeumia sana, na kwa vile nilikua nimelewa, nikampigia gf wangu akaja kushughulikia kuivuta gari, mimi na yule mwanamke tukawa tumeshaondoka, hata sikufikiria kama nitakutwa.
Mbaya zaidi nikafumaniwa na yule mwanamke, ilikua aibu tupu mtaani, naona siheshimiki tena, nyumba ninayoishi ni ofisi nipo na baadhi ya staff wenzangu wapo na familia zao, sijatoka nje siku nzima ya leo, kilicho kichwani kwangu ni kujiua tu, sitamani tena kuishi, why always me? Nimemkosea nini mungu, najua natenda dhambi, ila niende huko labda nitapumzika. Samahanini kwa maelezo yangu marefu.
Ila hili lipo moyoni mwangu na lazima nilitekeze, napokea maoni yenu wadau, nakosea wapi?
Thanks for Your Message, Inatia MOYO
Ni Kweli Usemacho Kaka, Nimeanza Kunywa Baada ya Kuwa na Kazi, Asante kwa UshauriUnatoka club mlevi kupindukia hujui pesa zinaelekea wapi na umemkasirisha mama kwa sababu ya ulevi wako na kutojali familia...pombe na wanawake mbona unaweza kuwaacha tu tatizo liko wapi au ndio umeanza kunywa pombe na hao kutafuta wanawake ukubwani baada ya kupata kazi...sina ushauri wowote walevi wengi wanajitambua utatupa mrejesho...
Amina! Ubarikiwe SanaPale unapoona binadamu wote wamekuacha na kukutenga usisahau kuna mungu muumbaji,kumbuka umeanguka wapi mludie yeye naye atakuponya pia muombe msamaha mama yko weka mambo sawa kwa watu wako .naamini utafanikiwa na utarudi kama zamani .
Asante, NitajitahidiYani natamani ningekuwa karibu nikuchape vibao acha upuuzi,mtoto wa kiume usirudie kusema upuuzi huu tena,Kuwa na moyo mgumu kama chuma cha pua.
Hope in the face of uncertainty!
Kwa Kweli, Hili Ni Funzo Kwangu