Natamani kufanya naye mapenzi ila hanielewi

Natamani kufanya naye mapenzi ila hanielewi

Kwan ukichepuka kuna tatzo gan kijana,..mbona unakua wa zaman sana....yeye anabana,chepuka .endelea nae kwan tatzo nin...?

Madem wa hvyo washagongwa sana so wamechoka chezewa so ndo hua wanakuja na rule hyo kwa maboya kama nyie.
 
Mkiwa mnachat muambia kiutani katika vitu ambavyo siwezi nikukaa mwezi bila game. Sijawahi pitisha mwezi[emoji3][emoji3]
 
Mwanamke ni kama embe,wakati unasubiri embe liive kwenye mshina ndipo ulile...kuna wenzio wanalila vivyo hivyo na chumvi likiwa bichi hawataki kusubiri!
 
Ukiwa nae piga masturbation ya kufa mtu hadi akuonee huruma
 
Hapa ndo mitihani inapotokea kwa waaume kuna jamaa alikuwa na msichana wa hivi tangu a level mpk chuo jamaa anaambiwa mpk ndoa ndo sex kabla ya kumaliza chuo na pande mbili walikuwa tayari wansfahamu mahusiano demu alitiwa mimba na jamaa mwingine wanasali nae kanisani iliniuma utadhani ni Mimi jamaa alipagawa karibu mwaka mzima
 
Dogo unafel sana hawa viumbe huwa hawaambiwi we fanya gafla romance kibao akija kustuka imooooo
 
Acha mawazo ya Uzinzi na Uasherati wewe kijana, muogope MUNGU na uzishike Amri zake. Kitendo cha kufanya ngono kabla ya ndoa ni dhambi kubwa. Huyo rafiki yako wa kike yupo sahihi kabisa kukukatalia mpaka mtakapofunga ndoa.

Mwache mtoto wa watu asome na autunze mwili wake, maana imeandikwa; "miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu"..... Kijana ikimbie zinaa.
 
Back
Top Bottom