Natamani kufanya naye mapenzi ila hanielewi

Natamani kufanya naye mapenzi ila hanielewi

Acha upuuuzi wewe dogo......skia mwambie unataka mfanye mapenzi...akikataa tu.......mwambie apite hivii....afu kula tinted .....kwanza mademu kibaoo!
 
Habari ya mahangaiko wakuu wa jukwaa hili, kama kichwa cha habari kinavyosema.

Nina mpenzi ambae tumekaa nae kwenye mahusiano takribani miezi mitatu mpaka saizi lakini nikimwambia habari za kufanya nae mapenzi anadai eti mpaka nije nimuoe na anajua kabisa mimi na yeye kuoana ni pale tutakapo maliza masomo yetu bado miaka kama mitatu hivi
sasa mimi sipendi nichepuke wakati binafsi mi nampenda na sitaki nimsaliti kwa kwenda kwa mwanamke mwingine

,,sasa swali langu ni kwamba nifanye njia gani hadi anikubalie kufanya nae mapenzi mana nampenda sana afu naumia kukosa penzi lake
,,msaada wenu ni mhimu wakuu Asanteni
Ukiona unanyimwa wewe jua kuna anayepewa
 
Mi mwenyewe kuna Mdada humu Jf huwa natamani Kufanya nae....lakini Naona kama Hanielewi vile....
 
Muda huo huo kuna njemba moja anaibembeleza ifumue papuchi yake hahaha fanya mchakato wa kutafuta papuchi nyingine maana utaishia kula mikono tyu
 
Kwani mnasoma shule ya kule Kambi ya fisi?? Kumbe mnasoma halafu unasema ati hakupendi. Wewe ndio unampenda kweli?? Ukimpa mimba, ni nani atasimama masomo, wewe au yeye?? Nadhani huyo binti ningemfahamu ningeenda kumtengenezea chupi ya chuma na padlock.
Katafute wengine wa kudanganya, huyu kakuambia; Sidanganyiki.
 
Back
Top Bottom