Natamani kufanya naye mapenzi ila hanielewi

Miez mitatu tu unalalamka? Kuwa mvumlvu wenzio 2lvumilia kwa mda wa miaka 5. Shinda tamaa. Mapenzi sio sex.
 
Misimamo ya namna hii mara nyingi huishia njiani, huenda anakubania wewe ili umuone wa maana kumbe kuna lijamaa la ajabu ajabu 'linachovya' daily..
 
Habari ya mahangaiko wakuu wa jukwaa hili, kama kichwa cha habari kinavyosema.

Nina mpenzi ambae tumekaa nae kwenye mahusiano takribani miezi mitatu mpaka saizi lakini nikimwambia habari za kufanya nae mapenzi anadai eti mpaka nije nimuoe na anajua kabisa mimi na yeye kuoana ni pale tutakapo maliza masomo yetu bado miaka kama mitatu hivi
sasa mimi sipendi nichepuke wakati binafsi mi nampenda na sitaki nimsaliti kwa kwenda kwa mwanamke mwingine

,,sasa swali langu ni kwamba nifanye njia gani hadi anikubalie kufanya nae mapenzi mana nampenda sana afu naumia kukosa penzi lake
,,msaada wenu ni mhimu wakuu Asanteni
Nado mapema sana vuta subiraaa
 
Unasubiri papuchi iletwe kwenye sahani??? Fuata huko huko jikoni mzee.
 
Habari ya mahangaiko wakuu wa jukwaa hili, kama kichwa cha habari kinavyosema.

Nina mpenzi ambae tumekaa nae kwenye mahusiano takribani miezi mitatu mpaka saizi lakini nikimwambia habari za kufanya nae mapenzi anadai eti mpaka nije nimuoe na anajua kabisa mimi na yeye kuoana ni pale tutakapo maliza masomo yetu bado miaka kama mitatu hivi
sasa mimi sipendi nichepuke wakati binafsi mi nampenda na sitaki nimsaliti kwa kwenda kwa mwanamke mwingine

,,sasa swali langu ni kwamba nifanye njia gani hadi anikubalie kufanya nae mapenzi mana nampenda sana afu naumia kukosa penzi lake
,,msaada wenu ni mhimu wakuu Asanteni
Nipe namba yake nikusaidie kukuombea ****
 
Imenikumbusha mmoja kati ya mademu wangu wa zamani. Kaniambia bado kitu iko 0 km haijawahi hata kusogea nusu hatua, nikafurahi. Nikawa nangoja siku ya sikukuu maana ndio tuliyopanga kunyanduana na zilibaki wiki kama 2 kufikia siku husika. Bwana weee!! Siku kumi kabla situkatofautiana kauli? Eti akanikasirikia na kuacha kunitafuta mazima. Nikasema hamna noma nitajitahidi nimrudishe. Zimebaki siku mbili nikamtafuta. Nikaongea nae vzr na mwisho tukasameheana. Ajabu ilipofika siku yenyewe tupo ndani tayari kwa kutoa makaratasi, nikasikia "Zab, naomba nikwambie kitu ila usinifikirie vibaya. Tulivyokosana nilijikuta napata hasira sana na nikaona kama haunipendi ikabidi nimkubalie fulani maana alikuwa ananitaka siku nyingi. Siku hiyo aliniwekea dawa ya usingizi kwenye soda nilipoamka nikakuta ameshanitoa bk. Niliona na yeye sio mwema kwangu na kuanzia hapo nikajua kweli wewe ni mwanaume unayeniheshimu." Nikajikaza kiume japo habari haikuwa habari tena. Nikafanya maandalizi ila nilipofika shamba kwenyewe[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] udongo hauna rutuba kumaanisha yalishalimwa mazao ya kila aina maana hata mguu ulikuwa unatifua mchanga. Inshort ni kama hii gari imetembea zaidi ya 700000km ndani ya siku moja kwa mujibu wa mmiliki. Nilijilazimisha kuendelea ila kamoja tu kalitosha kunikata stimu kabisa. Nilimwambia siko sawa ila baada ya kutoka pale sikuwahi kujibu sms zake tena maana niliona niliuziwa mbuzi kwenye gunia. Wanawake ni viumbe hatari sana.
 
Chepukaaa 2[emoji23][emoji23]
Habari ya mahangaiko wakuu wa jukwaa hili, kama kichwa cha habari kinavyosema.

Nina mpenzi ambae tumekaa nae kwenye mahusiano takribani miezi mitatu mpaka saizi lakini nikimwambia habari za kufanya nae mapenzi anadai eti mpaka nije nimuoe na anajua kabisa mimi na yeye kuoana ni pale tutakapo maliza masomo yetu bado miaka kama mitatu hivi
sasa mimi sipendi nichepuke wakati binafsi mi nampenda na sitaki nimsaliti kwa kwenda kwa mwanamke mwingine

,,sasa swali langu ni kwamba nifanye njia gani hadi anikubalie kufanya nae mapenzi mana nampenda sana afu naumia kukosa penzi lake
,,msaada wenu ni mhimu wakuu Asanteni
 
mdogo wangu soma sana maisha magum achana na mapenzi mawigi ya laki moja akianza mpenzi wako kuhitaji ya kwakina jonijio utaweza na kaboom kako shenzi ww
 
Habari ya mahangaiko wakuu wa jukwaa hili, kama kichwa cha habari kinavyosema.

Nina mpenzi ambae tumekaa nae kwenye mahusiano takribani miezi mitatu mpaka saizi lakini nikimwambia habari za kufanya nae mapenzi anadai eti mpaka nije nimuoe na anajua kabisa mimi na yeye kuoana ni pale tutakapo maliza masomo yetu bado miaka kama mitatu hivi

Sasa mimi sipendi nichepuke wakati binafsi mi nampenda na sitaki nimsaliti kwa kwenda kwa mwanamke mwingine

Sasa swali langu ni kwamba nifanye njia gani hadi anikubalie kufanya nae mapenzi mana nampenda sana afu naumia kukosa penzi lake
msaada wenu ni mhimu wakuu Asanteni
mbake
 
Back
Top Bottom