nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
hebu nimwite mwalim wangu miss neddy aje athibitishe kama kweli ww ni mtoto wa Excel kwasababu naona moyo unaenda mbio vbaya
hebu nimwite mwalim wangu miss neddy aje athibitishe kama kweli ww ni mtoto wa Excel kwasababu naona moyo unaenda mbio vbaya
Dada huko sasa kwingine. Mbagala wanakaa watu tafadhali.
Rudi njia kuu... kutafuta michepuko ambayo ni future corpse unadhani inauma kidogo... ntayapeleka!!!!!
Nauza na mapensi kabisa manake tight zitachanikaaaaa! Jamani wahudhuriaji nawakumbusha mkopo hamnaaaa, mje na hela cash!
michaango tuile au yufanyaje??
Ashakufa tunajiandaa na msibaa rambi rambii mpe Evelilyn Salt
Nauza na mapensi kabisa manake tight zitachanikaaaaa! Jamani wahudhuriaji nawakumbusha mkopo hamnaaaa, mje na hela cash!
Namba imewekwa dakika 2 tu miscol zako 20 msg 6, kijana upo shap ngoja nikufikirie...
naweka oda pisi mbili
Na haya madeni niliyonayo haki a mama ntakula hizo hela
bora umpe masai dada
Mambo jirani?
We umeingia sasa hivi, kwa heri mimi naenda kuitafuta weekend..
Tutaonana pale pale tunaponanaga..
aaaah! Kuumbe ndio yanaendelea hayo?
dah! Bora aisee ntagegedaje?? Kitu ngosha tena hahahaaa
kufa kufaana we kula tu !!
hako katoto mi sikatambui huoni hata kuniita mamiii kanaogopa king alikazaaga kwenye michepuko yake huko
Uuuh bora nipunguze madeni make huwa natoka mbagala naenda kushinda mlimani city nakwepa madeni
tusubiri hadi asb story inaweza badilika tukadaiwa,afu mi sipendagi kutishiwa nyau ujue nilikiwa naruka post zingine nkitafuta picha!!!!!!!
Lazima nimlindie mwanamke mwenzangu ndoa yake shem hahahaaa mbona umeshtuka?