Dont do anything bad to urself pal, just keep it up, watu tunaanguka tunachafuka na kudhalilika ama kudharauliwa lakini tuna inuka tunafuta mavumbi na tunapita katikati yao na kuendeleza fights, hakuna kukata tamaa, wala kurudi nyuma.
Try this idea, hama mahali ulipo na ukaanze kufight sehemu nyingine ambapo hujulikani, huku fanya mishe yoyote ile bila kuona aibu, as long as inakuingizia kipato cha halal just do, pray and then work, itakua sawa tu, kila mtu hupitia changamoto kubwa sometimes, hata unaoona wana pesa sana ila wanachangamoto zao kubwa pia, ila hakuna anaejiua. Be blessed.