dojonase
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 1,731
- 2,403
Zelu zelu wa tataimba on point
Njoo inbox mimi ni Mzungu.
Wanaiita hivyo huku mtaani.
Njoo inbox mimi ni Mzungu.
Wanaiita hivyo huku mtaani.
Hapana mpendwa. And mimi sex mpaka ndoa[emoji1787]
Mkuu mimi sio mzungu lakini huwa natoaga wazungu..
Ninakidhi vigezo vyako??
New experience. Wanaonekana wapo more romantic. Yani hivyo, kitu kipya and mapenzi ya wabongo ni yale yale nothing new
simple nenda maeneno waliyopo kama hapa dar mitaa fulani fulani n usiwe muoga na tabia za kiswahili kama kukaa kimya mtu anakutext au kujiafanya kila kitu mapaka uambiwe kama mademu wa kibongo na usiwe muongo wala na tabia za kibongo za mtu kila siku yeye ndo aambiwe watoke out bila kuambiwa yeye hawezi sema na kuomba hela hovyo mtu hamjazoeana tayari naomba hela ta rentJamanie naombeni msinihukumu but hii ni wish yangu kutoka moyoni. Natamani kuwa na mwanaume wa kizungu. Wadada wenzangu yeyote ambae ashawahi kudate na mzungu naombeni mbinu, pa kuwapata na lifestyle itakayo wa attract. Je sifa zao nzuri ni zipi na mbaya ni zipi. Naombeni tuzungumze [emoji1787]
Umejiandaa kwa yote?Jamanie naombeni msinihukumu but hii ni wish yangu kutoka moyoni. Natamani kuwa na mwanaume wa kizungu. Wadada wenzangu yeyote ambae ashawahi kudate na mzungu naombeni mbinu, pa kuwapata na lifestyle itakayo wa attract. Je sifa zao nzuri ni zipi na mbaya ni zipi. Naombeni tuzungumze [emoji1787]
ZERUZERU nipo hapa kama shida yako ni ngozi nyeupe. Usijali hatuwezi shindwana.Jamanie naombeni msinihukumu but hii ni wish yangu kutoka moyoni. Natamani kuwa na mwanaume wa kizungu. Wadada wenzangu yeyote ambae ashawahi kudate na mzungu naombeni mbinu, pa kuwapata na lifestyle itakayo wa attract. Je sifa zao nzuri ni zipi na mbaya ni zipi. Naombeni tuzungumze [emoji1787]
you are welcome mammyThanks dear. Ushauri mzuri na wa kistaarabu. Be blessed
Umeshajaribu wabongo wangapi ukaona hawako romantic?angalia isijekuwa wewe ndio unafanya makosa ya kufanya wrong selection...!New experience. Wanaonekana wapo more romantic. Yani hivyo, kitu kipya and mapenzi ya wabongo ni yale yale nothing new