Natamani kabla sijafa nije kuwa Chizi

Natamani kabla sijafa nije kuwa Chizi

Kila binadamu ni chizi, utofauti ni aina ya uchizi.
Mwanafalsafa aliyekomaa. Ukiweza pita pale Mlimani bookstore au popote vinapouzwa vitabu. Nunua tunovela twa Kezilahabi Nagona na Mzingile ujaribu kuvisoma...

Katika kamojawapo kuna kichaa mmoja anajigamba eti Vichaa ndio wana siri zote kuhusu maisha na ndio wenye maarifa ya kweli.
 
Asante mkuu, nikipata muda nitafanya hivyo.
 
Peleka maombi yako TISS au kamuibie Mpemba! Chagua njia itakayo kuwa nyepesi kwako.
 
Kuposti tu hii thread we tayari ni chizi
Natamani kabla sijafa nije kuwa Chizi, je wewe unatamani kabla ya kufa upitie Maisha gani?

Sometimes nawaona machizi ni Watu poa sana, nawish nije kuwa chizi sana.

Nikipita nawapa watoto furaha wewee Limweewuuu wananiita ( Mie burudani )

Rahaaa saana hasa mida hii ya jioni.
 
Inawezekana tayari umesha chizi sema hujijui tu.
 
Haya mambo mnayoomba mkifikiri ni utani, yatakuja kuwa kweli. Kama hupendi kuwa chizi ni wakati wa kukanusha usemi wako kabla hujasahau na kujikuta unakwenda kwa waganga wa kienyezi kutafuta mchawi ni nani.
Kama ni kweli mkuu mbona mimi naomba utajili na sijaupata!!!!?
 
Tema mate chini na ukatubu kwa muumba wako kiongoz
Natamani kabla sijafa nije kuwa Chizi, je wewe unatamani kabla ya kufa upitie Maisha gani?

Sometimes nawaona machizi ni Watu poa sana, nawish nije kuwa chizi sana.

Nikipita nawapa watoto furaha wewee Limweewuuu wananiita ( Mie burudani )

Rahaaa saana hasa mida hii ya jioni.
 
Natamani kabla sijafa nije kuwa Chizi, je wewe unatamani kabla ya kufa upitie Maisha gani?

Sometimes nawaona machizi ni Watu poa sana, nawish nije kuwa chizi sana.

Nikipita nawapa watoto furaha wewee Limweewuuu wananiita ( Mie burudani )

Rahaaa saana hasa mida hii ya jioni.
Mbona tayari umeshskuwa mwehu!. Kwa mawazo hsya unadhsni wwe bado mzima??!!! Hahahahahah.....JF sitoki aisee......
 
Natamani kabla sijafa nije kuwa Chizi, je wewe unatamani kabla ya kufa upitie Maisha gani?

Sometimes nawaona machizi ni Watu poa sana, nawish nije kuwa chizi sana.

Nikipita nawapa watoto furaha wewee Limweewuuu wananiita ( Mie burudani )

Rahaaa saana hasa mida hii ya jioni.
Mental fresh!!!!
 
Unatakiwa pia uliwe si unajua machizi huwa wanaliwa
 
Natamani kabla sijafa nije kuwa Chizi, je wewe unatamani kabla ya kufa upitie Maisha gani?

Sometimes nawaona machizi ni Watu poa sana, nawish nije kuwa chizi sana.

Nikipita nawapa watoto furaha wewee Limweewuuu wananiita ( Mie burudani )

Rahaaa saana hasa mida hii ya jioni.
Una mawazo kama yangu vile
 
Tayyari wew ni chizi tena bado kidogo utakuwa mwenda wazimu
 
Natamani kabla sijafa nije kuwa Chizi, je wewe unatamani kabla ya kufa upitie Maisha gani?

Sometimes nawaona machizi ni Watu poa sana, nawish nije kuwa chizi sana.

Nikipita nawapa watoto furaha wewee Limweewuuu wananiita ( Mie burudani )

Rahaaa saana hasa mida hii ya jioni.
tayari kufikiri tu kusema ivyo ushakuwa chizi already
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom