kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,124
Natamani kabla sijafa nije kuwa Chizi, je wewe unatamani kabla ya kufa upitie Maisha gani?
Sometimes nawaona machizi ni Watu poa sana, nawish nije kuwa chizi sana.
Nikipita nawapa watoto furaha wewee Limweewuuu wananiita ( Mie burudani )
Rahaaa saana hasa mida hii ya jioni.
Sometimes nawaona machizi ni Watu poa sana, nawish nije kuwa chizi sana.
Nikipita nawapa watoto furaha wewee Limweewuuu wananiita ( Mie burudani )
Rahaaa saana hasa mida hii ya jioni.