kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,124
- Thread starter
- #21
Wapi ntapata ile hatua ya makopo?
mbona tayari ushakuwa chizi
mbona tayari ushakuwa chizi
Hilo lishatimia tayari,,, tamani jingineNatamani kabla sijafa nije kuwa Chizi, je wewe unatamani kabla ya kufa upitie Maisha gani?
Sometimes nawaona machizi ni Watu poa sana, nawish nije kuwa chizi sana.
Nikipita nawapa watoto furaha wewee Limweewuuu wananiita ( Mie burudani )
Rahaaa saana hasa mida hii ya jioni.
Mbn ushakuwa chizi tayarHapana Mkuu vyote nimepitia kasoro uchizi tu
Haya mambo mnayoomba mkifikiri ni utani, yatakuja kuwa kweli. Kama hupendi kuwa chizi ni wakati wa kukanusha usemi wako kabla hujasahau na kujikuta unakwenda kwa waganga wa kienyezi kutafuta mchawi ni nani.Natamani kabla sijafa nije kuwa Chizi, je wewe unatamani kabla ya kufa upitie Maisha gani?
Sometimes nawaona machizi ni Watu poa sana, nawish nije kuwa chizi sana.
Nikipita nawapa watoto furaha wewee Limweewuuu wananiita ( Mie burudani )
Rahaaa saana hasa mida hii ya jioni.
HahahhahahaaaMe kuwa mchawi mashuhuri mtaa mzima wakiniona wanachange njia
Loooh akili haiko sawa weweNatamani kabla sijafa nije kuwa Chizi, je wewe unatamani kabla ya kufa upitie Maisha gani?
Sometimes nawaona machizi ni Watu poa sana, nawish nije kuwa chizi sana.
Nikipita nawapa watoto furaha wewee Limweewuuu wananiita ( Mie burudani )
Rahaaa saana hasa mida hii ya jioni.
Loooh akili haiko sawa wewe
Kila binadamu ni chizi, utofauti ni aina ya uchizi.
Mkuu kwani Nabii Tito alikua chizi?Hahahahahhaha dah kwel nabii tito