Natamani hata ningekufa leo !

Hivi ulishawahi kufikia hatua ya kumkufuru mungu akuchukue yaani ufe! Why ulifikia uamizi huo !
Kuchagua eneo hilo ni uoga. Kama ni mapenzi unafia unaweza ukaachana nayo tu. Kama ni pesa hukuzaliwa nazo. Sijui jinsia yako. Ila kama ni wa kiume,tukushasema kwenye vikao vya kiume. HATA KAMA HUNA HELA WEWE NI MWANAUME TU UTAPAMBANA HAKUNA WA KUKUFANYA CHOCHOTE WEWE NI MWANAUME TU. KAMA MWANAMKE ANAKUSUMBUA KSBB HUNA HELA ACHANA NAE IPO SIKU ATAKUTAFUTA ENDELEA KUPAMBANA. WANAUME NI MWIKO KUKATA TAMAA
 
Be strong ..
Hata ukifa leo huko uendeapo bado kuna maisha mengine.
Relax punguza hasira,Mungu atafanya njia.
Don't worry don't suicide.
Maisha ni zaidi ya golden chance #tuishi
 
Say no to kiherehere cha kufa #nimekupata
 
So tungepewa nafasi na mungu yaani uzaliwa au ubaki huko huko so kuna watu wasingetamani kuja duniani!
 
Ni Kweli depression inaua kuliko kifo chenyewe. Kufa ni dk tu lakini depression uenda Hadi Miaka na Miaka bila kuisha. Mungu atuepushe na majaribu ya aina hii.
Yes ndo maana ukiona mtu akajiondoa uhai usihukum maana Acha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…