Phenomenon Lady
JF-Expert Member
- Nov 19, 2013
- 407
- 245
Mhhhh hata huyo lawyer nae sio mzima
Yeye na lawyer yake wote mamburula
Mhhhh hata huyo lawyer nae sio mzima
amekua nyumba mpaka awe wagharama
huwezi kujua labda hanyagi,ujue mpaka mtu kusema yeye ni wa bei kali lazima ana vitu tofauti na wengine.
Angekuwa shoga kwa lugha nyepesi...Hebu vuta picha.....kama baba yako angekuzaa kwa mtindo huo ingekuwaje?
Nani wa kutiwa mimba kijinga bila mipango ya maisha hiyo mimba kaweke kwenye mmea upandikize ili upate hao watoto.
Inaonesha mleta maada nati moja ime loose huko kichwani mwake namshauri akapime akili kama zipo balanced
bora umeliona hilo naona amechanganyikiwa huyu mkuu