Nataka watoto wawili, sitaki mke

Nataka watoto wawili, sitaki mke

Huyu jamaa ukifuatilia topic zake humu hakuna anachoongea cha maana zaidi ya ngono tu.
 
Huyu jamaa ukifuatilia topic zake humu hakuna anachoongea cha maana zaidi ya ngono tu.

Ni hasara kubwa kwako Kama unadhani ngono haina maana, hebu jaribu kukaa muda mrefu bila kufanya ngono uone Kama genye hazijapanda kichwani
 
Hapa inaonekana kijana kuwa na miaka 25 anadhani amekuwa. Bado mawazo yake yako kwenye uvulana. Mwanasheria wake siwezi kumshangaa maana yeye amekaa kibiashara zaidi. Kijana kaa utafakari kwa kina baba yako angefanya hivyo ungekuwa wapi,mama yako angefanya hivyo ungekuwa wapi. Je! Vitabu vitakatifu vimefanya makosa kutuongoza katika ndoa? Je! Mwenyezi Mungu anazungumzia nini kuhusu watoto na ndoa kiujumla? Si makosa yako sababu u mvulana.
 
Hivi swala la kubeba mimba unaliona jepesi eehh mpk unaandika tu hatakuwa na mamlaka yoyote juu ya mtoto mwenzako cr7 almemlipa mama mtoto wake pound m 10 ili amchukue mtoto wewe unauwezo huo?? Au unafikiri kwa kutumia nini???
 
Huoni umuhimu wa mama kwa mtoto,unataka umnyime mtoto haki yake ya msingi unnecessary.
 
Tafuta watoto walioishiwa damu hospital kisha uwawekee damu yako,watakuwa na damu yako
.

Mkuu, umeumbwa na kichwa sio kwa ajili ya kufugia nywele tu, kwani ukimchangia damu mtoto ndio anakuwa wako?!
 
Afu wewe Kama unafanania na hiyo avatar yako basi unakidhi VIGEZO na MASHARTI kwa kiasi kikukbwa
Hee Handsome Youngman Gogle; wee lete posa yako kwetu !! Dinazarde, nae masharti yake utimize !!
 
Saa mbovu nin.!!kama ulikaa na lawyer wako huko mkajadiliana,mbo hukuwatafuta huko??hivi ni mwanamke gan atakubali kuzaa alafu asiwe na mamlaka na kiumbe chake???you insane
 
Habari wakuu

Wakuu nikiwa nakaribia umri wa miaka 25, nimefanya uamuzi kwamba sitaki kuwa na mke kwa maisha yangu yote, ila nataka kuwa na watoto wawili, mmoja wa kiume na mwengine wa kike kutoka kwa wanawake tofauti, hivyo natoa tangazo hapa kwamba natafuta wanawake wawili niwatie mimba kila mmoja anizalie mtoto mmoja.
Kwa ambae yuko tayari naomba tuwasiliane kwa gogle@gmail.com ili tuweze kukaa na mwanasheria wangu kwa ajili ya makubaliano ya kisheria na malipo, mwanamke hatokuwa na mamlaka yoyote kwa mtoto

VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA

Majibu yote uliyoyapata mpaka sasa hivi yanakutosha kufanya analysis ya reseach unayofanya, 50+ sample si kidogo kukuonyesha kuwa upo nje ya kundi ukitumia majority rule, so baki tu na minority ryt inayokupa haki ya kutoa mawazo yako
 
Majibu yote uliyoyapata mpaka sasa hivi yanakutosha kufanya analysis ya reseach unayofanya, 50+ sample si kidogo kukuonyesha kuwa upo nje ya kundi ukitumia majority rule, so baki tu na minority ryt inayokupa haki ya kutoa mawazo yako

"Akili za kuambiwa uchanganye na za kwako"- Jakaya M. Kikwete
 
habari wakuu

wakuu nikiwa nakaribia umri wa miaka 25, nimefanya uamuzi kwamba sitaki kuwa na mke kwa maisha yangu yote, ila nataka kuwa na watoto wawili, mmoja wa kiume na mwengine wa kike kutoka kwa wanawake tofauti, hivyo natoa tangazo hapa kwamba natafuta wanawake wawili niwatie mimba kila mmoja anizalie mtoto mmoja.
Kwa ambae yuko tayari naomba tuwasiliane kwa gogle@gmail.com ili tuweze kukaa na mwanasheria wangu kwa ajili ya makubaliano ya kisheria na malipo, mwanamke hatokuwa na mamlaka yoyote kwa mtoto

vigezo na masharti kuzingatiwa

wakupime, wewe siyo mzima kabisaaaa kiakiri na kimaadiri.
 
Back
Top Bottom