Nataka watoto wawili, sitaki mke

Nataka watoto wawili, sitaki mke

Mkuu nimeku pm, naomba unijibu.
 
Nenda ustawi wa jamii...wakiridhika kuwa wewe huna taahira ya akili wala mtindio wa ubongo, na Una kipato cha kuridhisha, watakuruhusu kuasili watoto yatima inaowatunza baada ya mama zao kufariki.
 
Habari wakuu

Wakuu nikiwa nakaribia umri wa miaka 25, nimefanya maamuzi magumu nimeamua kwamba sitaki kuwa na mke kwa maisha yangu yote, ila nataka kuwa na watoto wawili, mmoja wa kiume na mwengine wa kike kutoka kwa wanawake tofauti, hivyo natoa tangazo hapa kwamba natafuta wanawake wawili niwatie mimba kila mmoja anizalie mtoto mmoja.
Kwa ambae yuko tayari naomba tuwasiliane kwa gogle@gmail.com ili tuweze kukaa na mwanasheria wangu kwa ajili ya makubaliano ya kisheria na malipo, mwanamke hatokuwa na mamlaka yoyote kwa mtoto

VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA

Mkuu kazae na mbuzi unakwepa garama
 
Daa! JF bana! Ukiona umeyamiss matusi basi unaanzisha thread kama hizi. Ila jamaa hana hasira, anajitahidi tu kujibu hoja za wachangiaji bila jazba. To me, najua ni status yako ya sasa financially ndo inakupelekea kuwaza hayo, ungeijua kesho yako itakuwaje usingekuwa na hayo mawazo.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
khaa''! raha sana yan nizae tu afu akalee mwngne
 
Back
Top Bottom