Nataka watoto wawili, sitaki mke

Nataka watoto wawili, sitaki mke

DAAAH hii ndio MMU...wanawake wanatafutwa km bidhaa sokoni tena kwea mnada...huko ni kuweavunjia heshima..ukimzungumzia mwanamke...ni sawa na mama,dada bibi yako na shangazi yako.... USIKURUPUKE KIJANA HIZI LAANA NYINGINE MNAJITAKIA ALAFU UNASEMA UMEROGWA
 
Mkuu, hicho kichwa sio kwa ajili ya kufugia nywele tu, use it to the maximum
 
Habari wakuu

Wakuu nikiwa nakaribia umri wa miaka 25, nimefanya uamuzi kwamba sitaki kuwa na mke kwa maisha yangu yote, ila nataka kuwa na watoto wawili, mmoja wa kiume na mwengine wa kike kutoka kwa wanawake tofauti, hivyo natoa tangazo hapa kwamba natafuta wanawake wawili niwatie mimba kila mmoja anizalie mtoto mmoja.
Kwa ambae yuko tayari naomba tuwasiliane kwa gogle@gmail.com ili tuweze kukaa na mwanasheria wangu kwa ajili ya makubaliano ya kisheria na malipo, mwanamke hatokuwa na mamlaka yoyote kwa mtoto

VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA
KAMA UNAONA HILO JAMBO LAKO LINAMPA MUNGU UTUKUFU SAWA ..ila kaa ujue unapotaka kufanya jambo lolote reflect kwanza kwako .. BABA yako angefanya hivyo ungejifikiriaje ?
ILA NAAMINI NI UTOTO TU UKIKUA UTAACHA ...24yrs i think division 5 inakusumbua kichwani
 
  • Thanks
Reactions: keh
mama gani atakubali ku give up mwanae hivi hivi...mtoa mada acha kuwa brainwashed na tamaduni za ng'ambo ndio kuna masurrogate morthers haya makitu bado km una ngawila nenda nje ukapandikiza mbegu zako huko,mie sihitaji mume nataka watoto ila ujinga wa kuwafanya wasimtambue baba yao sitaufanya,nikilifikiria naona limekaa kiselfish sana wewe na huyo lawyer uchwara wako mnatakiwa counselling km wazima,huo uchoyo hao watoto hawahitaji baba mchoyo ktk malezi yao...it takes a real man to be a father..............
 
Kwenye VIGEZO na MASHARTI nimeweka kipengele kinachotaka mwanamke awe ni MTANZANIA , so no need to go nje ingawa ngawila zipo.
 
simple,hatujawa exposed enough na culture za west,all the best though,i just think its like finding a needle in haystack....
 
mama gani atakubali ku give up mwanae hivi hivi...mtoa mada acha kuwa brainwashed na tamaduni za ng'ambo ndio kuna masurrogate morthers haya makitu bado km una ngawila nenda nje ukapandikiza mbegu zako huko,mie sihitaji mume nataka watoto ila ujinga wa kuwafanya wasimtambue baba yao sitaufanya,nikilifikiria naona limekaa kiselfish sana wewe na huyo lawyer uchwara wako mnatakiwa counselling km wazima,huo uchoyo hao watoto hawahitaji baba mchoyo ktk malezi yao...it takes a real man to be a father..............
KWANZA LAWYER GANI HUYO ANAWEZA KUACCEPT SUCH KIND OF STUPID...huyo kakosa kazi kaona aje apost unazi hapa... YEYE ANAFIKIRI WALIOWAPOTEZA WAZAZI WA KIKE WANAPENDA HII HALI YAKUTOKUWA NA MAMA...Kwanza Mwanamke gani anaweza kutupa mtoto wake hata mnyama analea mtoto wake mwanzo mwisho ....Yan watu wengine akili zao...AAARRRGGHHHH puuuuuuuu!!!!!!
 
Mkuu hapa ni makubaliano ya kisheria ndio nazungumzia, malipo ni kuanzia 20k US DOLLAR kwenda juu inategemea na makubaliano, halafu ujue mtoto wako ni yule uliemlea sio uliemzaa, hapa kwenye hii deal mwanamke anazaa tu, halei.
 
Wala usipate tabu ya kutia mimba...kanunue tu dukani

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mkuu naomba unielewe, Mimi nataka watoto kwa damu yangu mwenyewe
 
Habari wakuu

Wakuu nikiwa nakaribia umri wa miaka 25, nimefanya uamuzi kwamba sitaki kuwa na mke kwa maisha yangu yote, ila nataka kuwa na watoto wawili, mmoja wa kiume na mwengine wa kike kutoka kwa wanawake tofauti, hivyo natoa tangazo hapa kwamba natafuta wanawake wawili niwatie mimba kila mmoja anizalie mtoto mmoja.
Kwa ambae yuko tayari naomba tuwasiliane kwa gogle@gmail.com ili tuweze kukaa na mwanasheria wangu kwa ajili ya makubaliano ya kisheria na malipo, mwanamke hatokuwa na mamlaka yoyote kwa mtoto

VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA

Kidonda baada ya govi kuondolewa kimeshapona??
 
Kama unafikiri kugegeda na kupigiwa simu na Bint kuwa ame conceive kunatengeneza strong bond na mtoto kuliko kubeba tumbo miezi 9 na kuzaa kwa uchungu basi endeleza Hizo ndoto zako.
Nenda na mwanasheria Wako dukani mkanunue kama mnahisi mtoto Ni sawa na mdoli.
 
Mkuu hapa ni makubaliano ya kisheria ndio nazungumzia, malipo ni kuanzia 20k US DOLLAR kwenda juu inategemea na makubaliano, halafu ujue mtoto wako ni yule uliemlea sio uliemzaa, hapa kwenye hii deal mwanamke anazaa tu, halei.
Eti mtoto Wako Ni uliyemlea sio uliyemzaa,Kuna watoto wengi sana hawana walezi kwa sababu mbalimbali,Nenda kachukue mmoja katika hao umlee awe Wako.
 
Matumizi ya viroba na viporo vya ugali ni hatari kwa akili yako
 
  • Thanks
Reactions: keh
Wewe na huyo lawyer wako mnahitaji ushauri na nasaha pia maombi ya kufunga. Utawaua wazazi wako kwa pressure kwani hawataamini kuwa wamezaa na kulea ki moron wewe!
 
Back
Top Bottom