Nataka watoto wawili, sitaki mke

Nataka watoto wawili, sitaki mke

Habari wakuu

Wakuu nikiwa nakaribia umri wa miaka 25,ila nataka kuwa na watoto wawili, mmoja wa kiume na mwengine wa kike kutoka kwa wanawake tofauti, hivyo natoa tangazo hapa kwamba natafuta wanawake wawili niwatie mimba kila mmoja anizalie mtoto mmoja.
mwanamke hatokuwa na mamlaka yoyote kwa mtoto

VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA
Mmmh.....:A S-confused1:
 
Lakini inawezekana;

Namjua mama mmoja aliyewahi kufanya makubaliano ya kisheria na
mdada fulani;

Yule dada alibeba siku alipozaa ndo siku walipomalizana mkataba
dada akaishia zake arusha akamwachia yule mama kichanga cha siku moja.

Kwa sasa kitoto kina miaka minne.
 
Kwenye VIGEZO na MASHARTI nimeweka kipengele kinachotaka mwanamke awe ni MTANZANIA , so no need to go nje ingawa ngawila zipo.

Gogle aaa yupo ila na yeye ana vigezo vyake uko apo?
 
kama mshikaji hana wivu basi itakuwa ameumizwa sana na wanamama..unaweza kupata lakini wapo wanawake wenye hiyo mioyo ya kutoa
 
Lakini inawezekana;

Namjua mama mmoja aliyewahi kufanya makubaliano ya kisheria na
mdada fulani;

Yule dada alibeba siku alipozaa ndo siku walipomalizana mkataba
dada akaishia zake arusha akamwachia yule mama kichanga cha siku moja.

Kwa sasa kitoto kina miaka minne.

Hebu nipe mawasiliano yake
 
Back
Top Bottom