excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,862
[TABLE="width: 500, align: center"]
[TR]
[TD]kijana punguza utani na maisha ya familia! jaribu kuassess kuna kiasi gani cha watoto walio mitaani sasa sababu ya ujinga na mizaha ya watu kama nyie! mnatamani kuzaa, wakati bado mko shuleni/kwa wazazi wenu! kwa umri wangu usiiongezeka wa miaka 23, bado sana!!! your thinking capacity, financial standing, brain growth and decision making in the society, still uko chini sana!!!!!
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]kama kweli unataka watoto, jipange kwanza usije ukatuongezea idadi ya watoto wa mbwa mwitu katika jamii yetu!!! tumechoka kuua!! sisi sio pilato ama israel mtoa roho!!! sisi ni jamii inayopenda amani kabisa!!!!
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
jaribu kuongea na wazazi wako kwanza waone ni jinsi gani ya kukupunguzia mihemko yako ya kila siku! sidhani kama watashindwa kitu hapo kwako! ila kwenye suala la watoto, subiri kwanza ukue!!!
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]kuanzia gharama za kuwakuza na kuwatunza, mpaka kuja kuwapa haki yao ya msingi ya elimu, tena elimu ya juu kabisa!! utatweta kijana!! utatujazia server humu jf kwa thread za kusumbuliwa na watoto!!
kua uyaone mwanetu!!
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]