Nataka watoto wawili, sitaki mke

Nataka watoto wawili, sitaki mke

Habari wakuu

Wakuu nikiwa nakaribia umri wa miaka 25, nimefanya uamuzi kwamba sitaki kuwa na mke kwa maisha yangu yote, ila nataka kuwa na watoto wawili, mmoja wa kiume na mwengine wa kike kutoka kwa wanawake tofauti, hivyo natoa tangazo hapa kwamba natafuta wanawake wawili niwatie mimba kila mmoja anizalie mtoto mmoja.
Kwa ambae yuko tayari naomba tuwasiliane kwa gogle@gmail.com ili tuweze kukaa na mwanasheria wangu kwa ajili ya makubaliano ya kisheria na malipo, mwanamke hatokuwa na mamlaka yoyote kwa mtoto

VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA
Hapo penye red nadhani uombe ufanyiwe lile zoezi walilolazimishwa watu kwenye operation tokomeza la kunaniliu na mti
 
Gogle Usithubutu kufanya hivyo. Utawatesa watoto bure.
 
Last edited by a moderator:
Gogle Usithubutu kufanya hivyo. Utawatesa watoto bure.

Tayari nishafanya maandalizi yote ya kuwalea bila mama Yao. Pia kwenye makubaliano ya kisheria tunaweza kukubaliana na mwanamke aliemzaa mtoto amlee akiwa Kama yaya sio Kama mama, na malipo ni mazuri tu
 
Last edited by a moderator:
Tayari nishafanya maandalizi yote ya kuwalea bila mama Yao. Pia kwenye makubaliano ya kisheria tunaweza kukubaliana na mwanamke aliemzaa mtoto amlee akiwa Kama yaya sio Kama mama, na malipo ni mazuri tu

Kama upo Marekani inawezekana. Kila la kheri.
 
Kwa miezi tu ambayo nimebeba huyu Darling wangu tumboni ingawa bado hatujakutana uso kwa uso....najihisi nimekuwa selfish mpaka baba yake anakasirika....Yaani niko possessive...i'm so in love with my unborn baby....Tuna Bond Ambayo Is Totally Unbreakable....so G..Pleaaaaaase Re-Think....Nakuambia hili sababu i know nowadays kuna hungry girls who will do anything for money...but once they carry the baby,The story will be different....Happy Maulid Jamani!!
 
Habari wakuu

Wakuu nikiwa nakaribia umri wa miaka 25, nimefanya uamuzi kwamba sitaki kuwa na mke kwa maisha yangu yote, ila nataka kuwa na watoto wawili, mmoja wa kiume na mwengine wa kike kutoka kwa wanawake tofauti, hivyo natoa tangazo hapa kwamba natafuta wanawake wawili niwatie mimba kila mmoja anizalie mtoto mmoja.
Kwa ambae yuko tayari naomba tuwasiliane kwa gogle@gmail.com ili tuweze kukaa na mwanasheria wangu kwa ajili ya makubaliano ya kisheria na malipo, mwanamke hatokuwa na mamlaka yoyote kwa mtoto

VIGEZO NA MASHARTI KUZINGATIWA

Eti mwanamke hatakuwa na mamlaka na mtoto!!hivi unajua uchungu wa mtoto wewe au hujui tu kwa kwenda kumwaga uchafu wako
 
your not a good man ambae anajielewa huwezi ukaongea pumba hzo hadharani laaaana inakufuata
 
Back
Top Bottom